Hilo ni Le Tamkoz rasmi wote waliofikisha umri wa kuoa na kuolewa mwaka 2015 tuowane maisha mengine yatajiseti ndani kwa ndani siyo msubiri mpaka muwe na Escrow, siku hazigandi.

Nitatumia fitina zangu zote hilo haliwezi kutokea tena kama Diva Beyonce yuko single au kwenye unstable relationship basi jibaba nitapropose myself officialy.