Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Director!Ni director ama producer?
Sana. Naona kama na imani za kishirikina zimemjaa sana. Mshamba sana.Huyu mjomba yuko negative tu wakati wote.
Ushamba ni kutoelewa mambo kwa kukosa uelewa fika....King kaibiwa materials zake..sasa ushamba huko wapi?Sana. Naona kama na imani za kishirikina zimemjaa sana. Mshamba sana.
Wimbo umetoka muda mbona!!! Utakuwa upo kwenye foleni wewe.... In voice of jiwe.Wimbo wa Toto sijasikia hata bodaboda waupige huo au umetoka jioni ya leo
Wimbo wa Toto sijasikia hata bodaboda waupige huo au umetoka jioni ya leo
Hiyo ndo gia ya kutongoza au?Inamaana mama angu mpaka upande bodaboda ndio upate nafasi ya kusikiliza mziki!!!!
Ni pm,kwangu nina sabufa,natumia earphone nasimu ya tekno,tv yangu ina king'amuzi moja kwa moja kwaiyo wasafi tv na clouds unaona muda wowote,nina memory card ya 2gb nimejaza ngoma zangu za singeri,nikiiweka kwenye ile sabufa majirani wote wananifata na kunipigia magoti huku wakilia ooh pliizi mkorintoo donti kili azi wiss big sound.
Hiyo ndo gia ya kutongoza au?
Wimbo gani sasa, mvumo wa Radi?