Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare amesema atatoa ya moyoni siku ya Alhamisi.
Akizungumza na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi mara baada ya kupata dhamana aliomba subira kwa watanzania kwani anayo siri nzito moyoni.
Lwakatare alisema anawaomba waandishi wa habari watulie kwani anatarajiwa kuzungumza kwanza na viongozi wake wakuu wa chama na jopo la wanasheria wake nguli ndipo azungumze na dunia.
Wakati hayo yakiendelea mtandao wa You Tube unamuonyesha Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba akitamba kwenye kampeni za udiwani Arusha kwamba ndiye aliyegharamia vifaa vyote vilivyotumika kumrekodi Lwakatare na hatimaye mateso yote yaliyomfika Lwakatare.
Source:Tanzania Daima.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
mkuu kumbe chanzo cha habari tanzania daima kwa heri mkuu.
You seem to have a good experience na satanic operations za Magamba. Its true he has to be smart!Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
alichopata Lwakatare sio majanga,hayo ndio wanayoyapata mashujaa wote wanaotetea haki mbele ya serikali fisadiKama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
majeshi ya Lwakatare ndio yalimuua Mwangosi?Jela inamsubiri na kwa muda huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Kama ametoka mahabusu atulie tu na familia yake. Kuropoka kutamfanya apate majanga mapya kabisa.
Jela inamsubiri na kwa muda huu ambao yupo nje kwa dhamana ningewashauri wananchi kuchukua tahadhari ili wasing'olewe kucha na kumwagiwa tindikali.
Unaogopa watu wasianikwe hadharani na madudu yao?