Nauliza tu jamani naomba msinishambulie...hivi kati ya mnyama (kwa mfano ng'ombe) au hata ndege (kwa mfano kuku) na binadamu ni kiumbe kipi kinapenda kula kula???? Yaani kuku anafunguliwa asubuhi anakula weeeeeeeeeeeeeeeee na ng'ombe pia....ila binadamu anajifanya eti anakula kwa muda lakini ma-vyakula mengi kama nini....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.