Algeria Vs Senegal- Mpira hauna historia ati ehe?

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,220
5,942
RECENT MEETINGS

June 2019 Algeria 1-0 Senegal (Cairo)*

Jan 2017 Algeria 2-2 Senegal (Franceville, Gabon)*

Oct 2015 Algeria 1-0 Senegal (Algiers)

Jan 2015 Algeria 2-0 Senegal (Malabo, Equatorial Guinea)*

Sept 2008 Algeria 3-2 Senegal (Blida)#

* Africa Cup of Nations match # World Cup qualifier
 
Naona kuna upande unazidi hapa, lakini pia historia hubadilika na rekodi huvunjwa.
 
Nategemea itakuwa fainal nzuri,ILA wakati wenzetu wanafurahia matokeo ya uwekezaji wao kwenye sports sisi bado tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu ana uwezo wa kukinyoa,na kwa habari zaidi muda huu kunafanyika mashindano ya Dunia kwa mpira wa Pete na jirani zetu Malawi na Uganda(ranked no 5 in the world)wanashiriki fainali hizi,wakati nchi ina heshima na adabu timu ya netball ya Bora ilikuwa inazifunga timu za taifa za netball za Malawi na Uganda ;nani asiyekumbuka wakati Bora VS Jeshi stars?DSM ilikuwa inasimama!tuendelee kumtafuta mchawi wetu.
 
Daaaaa tunaliwa kila kona Sisi Nani katuroga
 
Ninatumia king'amuzi cha AZAM, kuna channel itakayoonyesha??
 
Back
Top Bottom