Algeria scholarship 2015/2016

Algeria scholarship 2015/2016

Kissy methord

Member
Joined
Jun 27, 2013
Posts
38
Reaction score
3
kwa wale waliopata scholar ya algeria majina tayari yasharudi,kama umefanikiwa kupata ncheki
0714629417..ili tujuane na nikupe info.zaidi ya maandalizi....majina yamebandikwa wizarani kwenye notice board..
 
Chief mliomba vp maana kwenye CAS ilikuwa haionekani.
 
Tuliomba hapo hapo TCU sema ilikuwa mwanzon sana na walivochagua wakakitoa,,ilikuwa week 3 aftr kuchagua,
 
kwa wale waliopata scholar ya algeria majina tayari yasharudi,kama umefanikiwa kupata ncheki
0714629417..ili tujuane na nikupe info.zaidi ya maandalizi....majina yamebandikwa wizarani kwenye notice board..

Poa poa
 
Back
Top Bottom