Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

Alex Ndeki (mzungu wetu) tumkumbuke

Umenikuna kwa kunitajia Mwl.Chambo na Dr.Mallya (Rural Medical Assistant) na Mwl.Shendu (usafiri). Kulikuwa na Mwl. anaitwa Mwakasonda,Paul Kanijo,Kansimba,Mwl Kimwaga n.k
Mwalimu Mwakasonda alitangulia mbele ya haki long time ago.Elia Reuben ni pastor wa Kanisa la Kakobe Mbozi.Huyu jamaa alikuwa mcheshi sana.Emmanueli Simbua,Marko Pallangyo mko wapi?
 
Alexander Ndeki (Mzungu) wengi wetu tuliofanikiwa kuwa TS kipindi chake (1978 - 1986) tunamkumbuka huyu baba kwa mengi aliyotutendea hadi leo tukaitwa wana wa nchi.Basi tusimame wote japo kwa dakika moja tu tumkumbuke!!!Masaburi Upo?Neva Mkadala Je?Makongoro uko wapi?Daudi Salum, kina Ndalichako,Nshushu,Masista duu na wana Warsaw wote njooni basi kwa sala ya kumkumbuka shujaa wetu.

nimesoma Tabora Boys (1995-1997) , Ndeki alifanya ziara akitokea Wizara ya Elimu akiwa Mkurugenzi ndipo tulitaarifiwa kuwa alikuwa Mkuu wa shule zaman-yaaan jaamaaa alikuwa mweupe kama mzung aisee , walimu walikuwa zaman-Mkuu wa shule anatoa maelekezo utadhan Rais
 
Alexander Ndeki (Mzungu) wengi wetu tuliofanikiwa kuwa TS kipindi chake (1978 - 1986) tunamkumbuka huyu baba kwa mengi aliyotutendea hadi leo tukaitwa wana wa nchi.Basi tusimame wote japo kwa dakika moja tu tumkumbuke!!!Masaburi Upo?Neva Mkadala Je?Makongoro uko wapi?Daudi Salum, kina Ndalichako,Nshushu,Masista duu na wana Warsaw wote njooni basi kwa sala ya kumkumbuka shujaa wetu.

R.I.P Alex Ndeki. Nilikua TS 1986 -1989; 1990-1992 niliwahi kuwa second chief. WAKO wapi akina Ally Kalufya, Adolf Mutassy n.k
 
heshima mbele wakuu, hata baada ya Tabora kuna tunaomkumbuka akiwa wizarani..... alikuwa na moyo wa tofauti sana huyu mzee, RIP Alex....

Ni kweli kabisa! Nami nashuhudia hili alikjuwa na moyo wa kipekee. Utu na moyo wa kusaidia.
 
Mmenikuna, Alexander Ndeki kama sikosei aliondoka Tabora Boys kuwa Mkurugenzi wa Shule za sekondari pale wizarani Mwaka 1991.Na mara moja akampa Mwalimu Kitemangu kuwa Mkuu Wa shule ya Lugalo-Iringa,na walimu wengi wengine aliokuwa nao hakuwasahau kuwapandisha vyeo.

Namkumbuka kwa namna ya pekee alivyokuwa anaweza kumtambua Mwanafunzi wa Tabora boys hata ukiwa kwenye kundi la watu mjini na ukiwa huna uniform.

Alipoondoka Tabora Boys' alimuachia u-headmaster Mwalimu Katendele.

Si vibaya tukiimba wimbo wa tabora school kwaajili ya kumuenzi Alexander Ndeki:

Tuimbe wote pamoja!

Tabora school
Kichwa cha Tanzania
wote tumekusanyika
Tabora school
tupate kuelimika
tupate kuelimikaaaa

tabora school
kichwa cha tanzania.

Nyimbo ya wanajeshi wa tabora school,nimekumbuka bweni la SINA
 
Kweli mtoa mada umetukumbusha mbali namkumbuka Mwl Kabalimu alikuwa anachalaza viboko kwa kwenda mbele. Pia afande Peter dume la nyani.
.
 
Mmenikuna, Alexander Ndeki kama sikosei aliondoka Tabora Boys kuwa Mkurugenzi wa Shule za sekondari pale wizarani Mwaka 1991.Na mara moja akampa Mwalimu Kitemangu kuwa Mkuu Wa shule ya Lugalo-Iringa,na walimu wengi wengine aliokuwa nao hakuwasahau kuwapandisha vyeo.

Namkumbuka kwa namna ya pekee alivyokuwa anaweza kumtambua Mwanafunzi wa Tabora boys hata ukiwa kwenye kundi la watu mjini na ukiwa huna uniform.

Alipoondoka Tabora Boys' alimuachia u-headmaster Mwalimu Katendele.

Si vibaya tukiimba wimbo wa tabora school kwaajili ya kumuenzi Alexander Ndeki:

Tuimbe wote pamoja!

Tabora school
Kichwa cha Tanzania
wote tumekusanyika
Tabora school
tupate kuelimika
tupate kuelimikaaaa

tabora school
kichwa cha tanzania.
Katendele baadae alikuja Sengerema secondary kama mwalimu wa kawaida.
 
Alexander Ndeki (Mzungu) wengi wetu tuliofanikiwa kuwa TS kipindi chake (1978 - 1986) tunamkumbuka huyu baba kwa mengi aliyotutendea hadi leo tukaitwa wana wa nchi.Basi tusimame wote japo kwa dakika moja tu tumkumbuke!!!Masaburi Upo?Neva Mkadala Je?Makongoro uko wapi?Daudi Salum, kina Ndalichako,Nshushu,Masista duu na wana Warsaw wote njooni basi kwa sala ya kumkumbuka shujaa wetu.

Nikiwa form one (1986 -1992) nuiliwakuta watu hawa wakiwa A Level....Massanja Kasuka, Ignatius Dendula, Adolph Mutta, Julius Mbwelo, Second Chief wa Mutta nimesahau jina lake (RIP) na watu wengine Yusuf Chonya, Ali Kalufya, Joseph Peter, Peter Yegella, Robert Longer, Peter Shilla, Steven Magani, Eliakim Mtawa, Hon. Mahadhi Juma Maalim (Deputy Foreign Minister), John Shofel Ruzibuka, Yamungu Kayandabila (Deputy Permanent Secretary -Kilimo), Raphael Timothy, Deo Shuma, Evarist Chahali, Stanslaus Nathanael Hamis Fumbwe etc....Long Live Tabora School.........Mzee Ndeki aliheshimika hata katika shule nyingine ninakumbuka kwa mara ya kwanza nimemuona ilikuwa karibu term inaisha (nilikaa shule karibu term yote sijawahi kumuona) and the atmosphere tulipoambiwa "Mzungu amekuja" was all different "tense" kama vile Pope yupo around!! Walimu nafikiri walikuwa na wasiwasi zaidi kuliko hata tulivyokuwa wanafunzi...you can imagine what a kind of person he was! Nafikiri katika shule nzimawanafunzi aliokuwa anawajua by name hawazidi kumi...and I was Luck to be among them!!
 
May he RIP. Kiukweli walimu kipindi cha nyuma walikuwa committed na matunda yao yalionekana.

Again, kila kitabu na zama zake. Wakati si milele!
 
Ooooh Kaka Kimatire...Wengi tuliopita Tabora Boys (Berlin) wakati huo tunamkumbuka Mzee Alexander Ndeki (Mzungu) kwa Moyo wake wa Upendo na ualimu uliotukuka...Daima nitamkumbuka Mzee Ndeki, Mimi Binafsi alinisaidia kwenye mambo mengi...Wale wote waliopita hapo Tumkumbuke Mwalimu...Namkumbuka Mwalimu Kitemangu (Sportsmaster) na Wadau kama Patrick Saulo,Fred Omari,Richard Bwire,Thompson Andambike,Hamis Kimbau,Sam Mwaijande,Mussa Shekilango,Masanja Kasuka,Tiagi Masamaki,Kaka Kuti na wengine wengi!!!

Tuendelee kumkumbuka Mwalimu katika sala/swala zetu ili apate mapumziko mema,Daima na Milele!
Tiagi Masamaki anasepa na Kijiji huko,Chanika.
 
May he RIP. Kiukweli walimu kipindi cha nyuma walikuwa committed na matunda yao yalionekana.

Again, kila kitabu na zama zake. Wakati si milele!
Cheo cha mwisho cha mwalimu Alexander Ndeki kabda hajafariki kilikua ni Kamishna wa Elimu, Wizara ya Elimu na Utamaduni(kama ilivyojulikana wakati huo).Kabda ya hapo alikua ni Mkurugenzi wa Elimu Ya Sekondari. Alipofariki cheo cha Kamishna wa Elimu kilifutwa na aliyekua Waziri wa elimu katika serikali ya Mkapa marehemu Joseph Mungai na badala yake hadi sasa kuna Afisa Elimu Kiongozi..nakumbuka Yusuph Chonya alikua na mawasialiano naye ya karibu hadi wakati wa ugonjwa wake(kisukari) ambacho hasa ndio kilimuondoa duniani
 
Back
Top Bottom