Sijui kama wananchi tumsaidieje.Kipaji anacho ila figisu nyiiingiAisee yaan leo hii kuna watu nilipanda kwenye daladala wakawa wanaongelea Rose alivo kuwa amekamata muziki, huyo jamaa kipindi hiko alienda Zambia huko, mpakani na Zimbabwe anakwambia alikuta Rose nyimbo zake zinapendwa kweli, na zilikuwa zikipigwa karibu kila sehemu, hadi kwenye ma bar, sema tukawa tunajiuliza Rose kapoteaje!? Hatukuoata jibu.
Kupotea si mbaya ila kama hakujiwekeza ki uchumi hapo ndio lazima ajute, sidhani kama Rose yule wa kipindi kile atarudi tena
Tuombe Mungu.Promota mzuri apatikane.Sio huyo Msama.Eti Rose Hana ubavu wa kujaza Diamond Jubilee. Hivi Anamjua Rose au anamsikia.Yule inatumia Pesa kushawishi atengwe..baada ya kumdhurumuaisee,mungu atamsaidia huwa namkubali anafanya mziki mzuri sana ngoja mapromota waje najua watauelewa uzi wako mkuu .
Sasa kama yeye anatunga nyimbo zake msama ana mzuiaje hapo, ebu nieleweshe kdogoSijui kama wananchi tumsaidieje.Kipaji anacho ila figisu nyiiingi