Chamoto
JF-Expert Member
- Dec 7, 2007
- 8,328
- 17,533
Hatushabikii kitu bali tunawashangaa mnavyotamba eti mna mgambo professional wa kulipiga jeshi la museveniSasa twashabikia nini hapa? vita?
Hatushabikii kitu bali tunawashangaa mnavyotamba eti mna mgambo professional wa kulipiga jeshi la museveniSasa twashabikia nini hapa? vita?
naah at least wangekuwapo Wajaluo! lile ni jeshi la Wakikuyu bwana! they now got some short Army chief General jamaa ni mfupi kama kondoo na amenona kama nguruwe! ameshiba kweli sukuma wiki na ugali! sijui kama hata anaweza kimbia! that's a Kenyan army fitness indicator! Bwahaaa......!
Geza ulole,
Ijapokuwa wakenya kuna baadhi ya vitu sikubaliani nao ila wanajitahidi kuliimarisha jeshi lao. Nilisomaga mwaka jana kuwa wamenunua vifaa vingi vya kijeshi (mfano vifaru na silaha) (gazeti la East Africa). Pia nilisoma katika report za IMF na World Bank Budget yao ya defence ni kubwa kuliko nchi nyengine yeyote East Africa. Tanzania is 1.1% of GDP, Uganda is 1.8% of GDP, Kenya is 2.1% of GDP. Wanaweza kuwa wamejizatiti ijapokuwa wanamajivuno mengi mno!!!!
..bora wapigane ili EAC ife.
..EAC is not for the benefit of Tanzanians.
Waichukue EAC waitie kwenye kapu waende nayo ni bora tuungane na Zambia na Msumbiji na Rwanda na Burundi na Uganda ila sio Kenya. These greedy chaps mtajuta kuzaliwa mkiwarudisha katika anga za umoja. Wametutafuna 1970s wakashindwa kutumaliza sasa watakaporudi safari hii wanamalizia kabisa. Waende zao tu hatuwataki as simple as that
Kwani mtafanya!?it's not our fault that u people can't think for yourselves, that's y we r here to think for you and make money out of it. No hard feelings, it's just business.hawa hawafai kabisa,arusha wamejaa kila kona tunashindwa hata kupumuawanafikiri sisi hatuna matatizo??
Aisee Moyo usianze kupindisha mada. Ishu hapa ni kutandikwa kwa wakenya kama watoto wadogo, na uoga wenu, ingawa mnajifanya "wajanja". You are just paper tigers. Si unaona akina Smatta wanavyoigopa hii mada kama ukoma. Mnafikiria nani hawajueni nyinyi wakenya na usoft soft wenu?Bro,I c ua hatred is beyond measure towards us, what I fail to understand is Tanzania's silly obsession with kenya.
angalia ulivyo emotional...bwaaah BTW ulikuwa unakuwa wa ngapi darasani? Kibaki anaita watu kama nyie buree kabisa!Kwani mtafanya!?it's not our fault that u people can't think for yourselves, that's y we r here to think for you and make money out of it. No hard feelings, it's just business.
U can't survive without us, who will think for you when u r complete ******!?
Basi mtakufa hadi mkome nyie wakenya. Wenzanu waganda mara wanapigana na Joseph Konnie, mara Sudani kusini. Na kokote kwenye vita lazima Uganda ipeleke majeshi. Majeshi ya Uganda hivi sasa yapo DRC, Somalia na kokote kwenye migogoro. Hatujawahi hata mara moja kusikia kenya imepeleka majeshi kokote. Halafu ndo mnataka mkajifunzie vita uganda? Au mnafikiri vita kati ya nchi na nchi ni sawa na vita kati jeshi na wananchi ile ya 2007?
Muulize Gaddafi atakujibu................hivi vita ni kwa faida ya nani?
With your little brains,keep in mind that EAC has never been a Kenyan idea,it was Mwalimu Nyerere who advocated for this union back then in 1960's and Kenyatta then was not interested please do not blame us,by the way,Now with South Sudan in the picture,and their willingness to join EAC who needs brainless people like you who are of no benefit to themselves and the region at large,just complaining from Jan to Dec.Your inferiority complex will kill you guys,you try to build your self esteem by hating and comparing your self with Kenyans.Be warned !We are operating from a different wave length.Learn how to be good students like Ugandans,who have been learning from us and now we consider them worthy competitors in business and commerce.Remember Southern Sudan is now Kenya's 48th county,so your threats and self importance in EAC is now kapputt...bora wapigane ili EAC ife.
..EAC is not for the benefit of Tanzanians.
Unfortunately there is nothing you can do,we are here to stay and this time be ready because we will leave no stone unturned,hamna bahati,i will advise you to start having classes on tolerance,if you do not wake up,we will be determining who your next president will be.Watch this space.We are surviving without you parasites on our back. Haven't you noticed it? This is why hatuwataki kwasababu mtatuharibia mazuri yaliyokwishaanza na matokeo mtatuacha kama mlivyotuacha mwaka 1977 tukiwa hoi hatuna kitu. Kwendeni zenu hatuwataki !!!!
give us facts,not hear sayswho needs faggs like u to form a federation? Naskia kuna jamaa anamchapa mbota vibaya mno chief justice wenu! Bwahahahahhh