Alert!!Alert!!Valentine Day!!!!!!

heheheheheheh una majungu hakika ,hujambo lakini
Nimekushika nini au mpango wako ulikuwa wa kuniletea maua saa kumi nambili!!na gersha za tutoke hani tukapate dinner wakati umeshinda hotelini breakfast na lunch umejisuhuza na mwingine!!??ujue ukiniletea saa za robo tatu ya siku nakurudisha na maua yako kama babake eddy murphy katika coming to america!!:becky:
 
nimecheka kweli kweli hili neno hapo una maneno mbofumbofu kweli.
 
Kwahiyo na mimi ni mbofumbofu??
khekhekhe yamekuwa hayo shost wamtega nani ili kile kizawadi kangu ka valeeee ukapindishe kwingine usintafute ugomvi hunipati ng'o
 
safi sana ni muhimu tuutafute kwanza ufalme wa mbingu.... usisahau kuwapeleka leo kwenye ibada ya majivu. tumeanza kwaresma

Mi ntaanza kesho rasmi leo kwenye jukwaa la siasa wamenitengua udhu nikajikuta tusi limeniponyoka
ha haaaa, mimi nimeshaanza binamu......
niliwahi misa ya asubuhi....
watoto wataenda jioni na dad yao.
sasa binamu inabidi ujichunge sana hii Kwaresma maana utajikuta unatwanga maji kwa kinu
 
ha haaaa, mimi nimeshaanza binamu......
niliwahi misa ya asubuhi....
watoto wataenda jioni na dad yao.
sasa binamu inabidi ujichunge sana hii Kwaresma maana utajikuta unatwanga maji kwa kinu

safi sana binamu mi ntaenda kupaka jpili.. nishavaa ngozi ya kambale mabaya yote yakinigusa yanateleza tu hayanikamati tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…