Alert!!Alert!!Valentine Day!!!!!!

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Tahadhari kwa wapendanao Ukipokea banchi la maua,kadi kwa ajiri ya Valentine Day!kwakipindi cha jioni imekula kwako!!
Jihesabie wewe ni Masalia!Ujue kuna waliopata Asubuhi ya saa nne,Saa sita hadi saa saba mchana wakati wa lanchi sasa wewe unapewa Maua nakadi jioni jua limezama na siku iko robotatu!!Pole yako!!:A S 12:
 
Hahahahaaa aisee ni kweli ila mimi bibie anakuja Alhamisi Jioni so atanipa ua muda wa jioni hivyo hapa nimenusurika
 
Hajanikuta ila nikwakuwa nawajua wabongo kwa ukaribu zaidi!

mkuu zamani tulikuwa tunafanya hivyo lakini siku hizi mambo yamebadilika kidogo..

niliwahi kuletewa keki.. nzurii asubuhi mchana nikaipeleka kwa mwingine na sherehe ikafana kweli (enzi za ujana)

kwahiyi ukipeleka mauwa mapema watu wanatoa kadi wanaweka ingine na linatumwa kwa mwingine.
 
Hiyo ni bandika bandua!!
 
huu ndo utapeli kabissa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…