Alepo yakombolewa yote

Babu sea

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
953
744
Vifijo na nderemo vimetokea katika mji wa Alepo baada ya majeshi ya serikali ya syria ya kiongozwa na Russia kuutwaa kabisa mji huo mikononi
mwa waasi

Pongezi nyingi kwa jeshi la syria pongezi nyingi kwa Russia

Pia Western mkiongozwa na Marekani poleni kwa kukosa mlichokitaka japokua mmeteketeza mapesa mengi.
 
Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
 
Kama kaomba msaada kwa Marekani basi ujue ndio watamiminika wengi hapo Uturuki.
 
Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
hapo hiyo ni zuga ili usa wajifanye wanawatwanga waasi ili waingie tena kwa wingi syria.
 
Leo waturuki wameomba msaada wa Jeshi la anga la marekani kupambana na hao wanaoitwa ISIS Katika mji wa Adlib. Michezo ya kuigiza bado inaendelea ukichukulia kuwa katika umoja wa NATO Uturuki ndo ya pili kwa uwezo wa kijeshi… je ni kweli taifa babe (waulize wagiriki watakuambia) kama Uturuki limeshindwa na kikundi tu cha waasi kinaitwa ISIS? Haya ngoja tuendelee kuangalia muvi hii
Waturuki wanafiki sana. Lakini Putin ni kiboko. Anawsikilizia majoto tu. Sasa hivi KGB wapo kibao wanafatilia ishu ya Barozi wao kuuwawa.
 
Back
Top Bottom