Album yangu

watoto wetu wa siku hizi wako kama kuku wa kisasa? hawana michezo kabisa.
 
Aiseee kuoga kwenye mvua nisingekuwa mbibi mpaka kesho ningekuwa naoga
 
Da kimekosekana kimamama na ki baba baba tulikuwa tunajenga nyumba za changa tunaweka mipaka ya sebule, tuna watoto halafu mama anaongea na baba sebuleni na ilikuwa kwa nia njema hatukuendelea wala hatukujua chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…