Album yangu

daaaah kucheza kwenye madimbwi ya maji (kudiba), nakumbuka 90's tulikuwa tukiogelea kwenye shimo walilofyatulia tofali (somewhere in morogoro) kumbe kulikuwa kuna kisima ndani ya shimo hilo (bwawa) daaah nakumbuka tulikuwa tunacheza mchezo wa kidari daaah mmoja wetu akazama tukadhani kajificha kumbe alinasa kwenye tope na ndo ilikuwa mwisho wake R.I.P
 
Mshana jr
The well grown up !!
Bravely shaped by experience!!
A treasure for those who are determined to learn from others.
 
nakumbuka huo mchezo wa goroli kwetu musoma tulikuwa tunaita "JAGA" long time jamani. niliwahi kumeza goroli moja alafu nikananii nyuma ya choo nikaitoa nikaisafisha nikaendelea kuitumia mwendo mdundo. acheni utoto uitwe utoto .
 
ila hapo sijaona ule mchezo wa "MONJO" wa kula sungwi "MASURUJI" thene unayatengeneza"UNAYAFORA" yanakuwa monjo. kwa sehemu nyingine sijui mnauitaje ila wale wa kule musoma ndo jina letu hilo.
 
Nilimaliza kaptura zangu.Ilifika wakati wazee Wangu wakaamua kuniwekea viraka kwenye kaptura zangu K wa mchezo wa gololi.Duh Tumetoka mbali.Ajabu sikuhizi viraka kwenye nguo NI fasheni.
 
ila hapo sijaona ule mchezo wa "MONJO" wa kula sungwi "MASURUJI" thene unayatengeneza"UNAYAFORA" yanakuwa monjo. kwa sehemu nyingine sijui mnauitaje ila wale wa kule musoma ndo jina letu hilo.
Kweli wewe wa Musoma. Hivi monjo zilitokana na matunda ya mikaratusi?
 
Nakumbuka tukiwa wadogo tulicheza michezo ya kivita makaburini.Michezo inaanza saa moja usiku hadi tatu au nne....Ukikamatwa mateka unafungiwa msalabani, ilikuwa raha sana.....waliokuwa wakubwa wakati huo wakija kuvutia bangi kwenye hayo makaburi au kugegedana walikimbia pindi walipotusikia, walidhani ni mizimu ya wafu.....Utoto raha sana.
 

Mkuu Mshana Jr hao watoto NI wabunifu Kama tungekuwa tunatambua umuhimu wao ndio
Wangekuwa "mechanical engineering " wetu
Nikitembea Dodoma vijijni wako watoto wa dizaini Boing 747 ,Airbus,wanatumia miti Na nta au minyaa aina ya gundi Na cha ajabu hawajaiona ndege live uwanjani.
Asante Kwa makumbusho
 
Kipaumbele chetu ni siasa na kubaki madarakani huko tumewekeza sana
 
Kipaumbele chetu ni siasa na kubaki madarakani huko tumewekeza sana
 
[emoji23] [emoji23] iyo ya kujipikilisha nimekula sana vyakula vya kwenye vikopo
 
Mshana umesahau kombolela kwenye kujificha watu wanacheza kibaba na mama [emoji134] [emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…