NGAYANIMO
Member
- Feb 17, 2026
- 42
- 58
Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette)
✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao ni pamoja na Da Jo, Bad Spack, Neck Breakerz, Manyema Family, Gangwe Mobb , XPlasterz ,
Nigger II Public , Jack Warriors, Mr. Shin, Stara Thomas.
Albamu hii ya nyimbo mchanganyiko ulikuwa usimamizi wake Sebastian Maganga na Bernard Oduor. Seba ni miongoni mwa watangazaji waliokuwa wanasimamia kwa jicho la karibu sana uanzishwaji na uendelezi wa muziki wa kizazi kipya kwa mwanzoni mwa miaka ya 2000. Kulikuwa na kipindi kabisa katika Redio Uhuru kuhusu chati za muziki wa kizazi kipya kilichotwa Deiwaka. Kipindi kilikuwa Jumatatu hadi Ijumaa.
Kilitumia jina la Deiwaka hadi 2004 kikaitwa Party Up, Hurry Up na muda ukabadilika kutoka saa nane mchana hadi saa kumi, kwenda saa moja usiku hadi saa tatu. Redio pia ilibadilishwa jina kutoka Redio Uhuru hadi Uhuru FM.
Kilikuwa kipindi ambacho kilitokea Mkali wa Rhymes.
Kila wiki wanatoka na kuingia wasanii wapya katika chati hizo. Seba pia aliwahi kuwasimamia Gangwe Mobb wakati wa albamu yao ya kwanza "Simulizi la Ufasaha" na hadi kipindi kinaondoka hakuna aliyewahi kupita nafasi za juu katika chati zaidi ya Dully Sykes wimbo wa "Julieta" na Inspector Haroun "Mtoto wa Geti Kali".
Nyimbo zote zimetayarishwa na MJ Records chini ya watayarishaji mbalimbali wa katika studio hiyo. Upande wa kava la albamu hii ni usanifu wake Thomas Gesthuizen au maarufu kama DJ J4.
Orodha ya nyimbo pamoja na watunzi wake. Katika muziki wa Afrika, mara nyingi njia ya usambazaji wa muziki ilikuwa kanda au tepu hivyo jambo la upande A na B ni la kawaida sana...
ALBUM SIDE A
1. Ulileta Nyodo
Da Jo akiwa na Bad Spack
2. Mlijaribu Hamkuweza
Neck Breakerz
3. Amri Kumi Za Mungu -
Manyema Family
4. Heka Heka Gangwe Mobb
5. Haleluya XPlasterz
SIDE B
1. Na Bado Nigger II Public
2. Chuchuchu Jack Warriors
3. Nakupenda Mr. Shin akiwa Stara
4. Fani Katika Maisha
JC (69) akiwa Q Chief
MR. SHIN FEATURING STARA THOMAS. - NAKUPENDA..
It's really mr shin featuring stara
Aah
Jeah
Jeah
Aah
Jeah
Jeah
Let's Go..
Stara Thomas ( chorus)
"Sijamuona mwingine zaidi yako/
Jinsi navyo kupenda wewe/
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda weee!!!
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda weee!!!
Verse...1 ( mr shin)
Kwa mara kwanza nilipokuona we mpenzi/
Mapigo ya moyo yalienda kasi/
Da..!! Wize Ulisimama kwa sekunde /
Kwa jinsi ulivyo umbika /
Mcheshi, mzuri wa sura , Tabia & maumbile/
Uliichanganya kiu yangu na wapi? Nitakupata/
Nilikupata nilikuita ukung'ata /
Nilipokutaka kima mapenzi ukukataa/
Ukikubari na kusema hakuna shaka/
Nami pia nakuzimikia/
Asante sana Mr shini, nimepata kifaa kinachofaa/
Kuni hifadhi , huru ufedhuri vichochoroni/
Sitaki tena, hakuna mwingine wa kutenganisha/
Labda pekee Mwenyezi Mungu /
Mpenzi we ni Rose la moyo Wangu/
Sijamuona mwingine zaidi yako/
Na jinsi ulivyo umbika/
Hakuna Tena ku angaika/
Nakupenda wewe..
Stara Thomas ( chorus)
"Sijamuona mwingine zaidi yako/
Jinsi navyo kupenda wewe/
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda weee!!!
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda weee!!!
Verse..2 ( Mr shini)
Kutapa tapa kutapa tapa /
Sitaki tena sasa moyo Wangu Sultan/
Mpenzi mwingine si mtamani/
Penzi letu tu la lithamini /
Sasa la ng'a ra kama nyota mbinguni/
Kama kuna mwingine ananifaa/
kuni enzi na kunipa penzi kama wewe sidhani/
Mr shini mi hayawani ila kwako dear nimetuliza yangu mashetani/
Ndani ya Beach Party iko juu zaidi ya sitini/
Lakini mi nakupenda wewe/
Ni amini nakuita mpendwa honey /
Kwa jinsi ulivyo makini /
Mpenzi wangu wa zamani /
hili sasa mbele ya macho yangu
Hana tena thamani /
Na machizi wangu wame baini /
K g , c sinza sia wanakufangilia jinsi ulivyo makini/
Ooh sweet ni wewe pekee unipae kiwewe/
Ninapokuwa mbali na wewe mi huwa mtulivu kama jiwe./
wewe ni mimi nami ni wewe/
Mwingine kama wewe /
Hakuna ...
Na kama yupo basi sio kama wewe/
Wewe ni zaidi kuliko/
Hii ni siri kolokwizo, kashi kashi wala ujiko hivi ndivyo halisi jinsi ulivyo/
Honey sio kwamba naroboka ovyo
Rahasha nakupenda wewe../
Stara Thomas ( chorus)
"Sijamuona mwingine zaidi yako/
Jinsi navyo kupenda wewe/
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda weee!!!
Mpenzi nakuhitaji/
Mpenzi nakujar/
Mpenzi nakupenda..
Verse..3 ( Mr shini)
Sio siri mpenzi umeumbika midhili ya malaika/
kila sehemu tunazopita dear unasifika/
nime tuliza ball kwako mwenzio nimeshafika/
kwa penzi lako tulivu unalonipa/
tena tamu la kuni shika shika/
ukweli ni kwamba haki ya mungu my preshi unanifikisha kwenye kilele cha mapenzi/
na kunipangawisha ama kweli ma vituzi unayaweza ndani ya sita kwa sita/
kila pande unajimgeuza wewe sio mvivu ni mwelevu tena mwepesi /
Wa kujishughulisha yote tisa, kumi/
Utamu unapo noga ndani ya chezo /
Vionjo vyako msisimuko ukilia malalamiko ....wao
Unanimaliza nakupenda wewe
Kama umewahi kusikiliza hii Album ipi ni nyimbo bora zaidi kwa upande wako?
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202