Albert Msando sio raia wa Tanzania?

Albert Msando sio raia wa Tanzania?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Wakili huyu maarufu ameshutumiwa kuwa sio raia wa Tanzania.wazazi na ndugu zake wahojiwa kuhusu suala hilo.



=======Updates =======

Maelezo ya Albert Msando kuhusu uraia wake

Leo tarehe 26.06.2014 nimepeleka maelezo yangu ofisi ya Uhamiaji Moshi kuhusu uraia wangu. Kwa maelezo niliyopewa awali kuna wanaosema mimi sio Mtanzania.

Kufuatia hiyo Mzee wangu, Gaspar Mwaria Msando na kaka yangu George Mwaria Msando wamehojiwa leo kama wananifahamu.

Miaka 34 baada ya kuzaliwa hospitali ya serikali, kusomeshwa shule msingi ya serikali, shule ya sekondari ya serikali na chuo kikuu cha serikali leo natakiwa kuelezea kama ni raia.

Najiuliza, kama sio raia narudisha gharama zote za serikali? Je naenda wapi kama leo hii mimi sio raia? Stateless person?

Chanzo: FB wall ya Msando Alberto


Maelezo ya Zitto Kabwe kuhusu uraia wa Albert Msando

Eti Albert Msando Alberto sio raia wa Tanzania! Hii nchi ni vichekesho. Albert wanajua wanayemtafuta. Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Bwana Maswi aliwaambia Jukwaa la Wahariri kuwa Mimi Zitto Z Kabwe ni mkongo. Albert, watakusumbua sana. Tutawashinda tu. Hatushindwi vita.

Chanzo: FB wall ya ZKK
 
Sijakuelewa Mkuu, Ni Raia Wa Wapi Na Evidence Zipi?
 
Thread nyingine ya kipuuzi! Upuuzi kabisa!
 
Hilo saliti ukilicheki ni kama mbegu ya kitusi hivi!
-ha!ha!ha!haaa! Msando bwana eti wakili msomi!
Chadema for life.
 
Ninamashaka na uraia wa nnape wakuu nijuzeni asili yake,mbona ni kama mtusi?
 
Hahahaha vingine vinachekesha unajua kumtafutia mtu sababu huwa inakuwa kazi sana hadi kufikia mahali ambapo hata haiingii akiliani
Nakumbuka hata Jenerali Ulimwengu waliwahi kumfanyia hivyo
Husein Bashe nae alifanyiwa hivyo.
Zote hizi ni mfa maji huwa haachi kutapatapa,
U
Hivi uraia wa mtanzania unaanzia wapi hasa?ikiwa mtu kazaliwa hapa kakulia hapa na kasoma na bado kazi anafanya hapa, tangu nimemfahamu Beto sijawahi sikia anaye hata baba mkubwa nje ya nchi.
Kama ni sababu tumtafutie zingine.
 
Back
Top Bottom