GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

GE2025 Albert Msando: Ni kweli Ufisadi upo nchini lakini Rais Samia anapambana nao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini

“Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na ufisadi, na vyombo vinavyotakiwa kushugulika na ufisadi Rais ameviwezesha”amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando

Mkuu wa wilaya ya Ubunge Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Edwin Odemba amesema “Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na ufisadi, na vyombo vinavyotakiwa kushugulika na ufisadi Rais ameviwezesha”

Muda ukifika Abdul atanyongwa
Mkuu wa wilaya ya Ubungo Albert Msando akizungumza kupitia kipindi cha Medani za Siasa cha StarTV kinachoongozwa na Mwandishi wa habari Edwin Odemba ameeleza kuhusu kuwepo na mapambano dhidi ya ufisadi nchini

“Ni kweli ufisadi upo Nchini lakini Rais Samia anapambana nao, na anakereka na ufisadi, na vyombo vinavyotakiwa kushugulika na ufisadi Rais ameviwezesha”amesema Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Albert Msando

Anapambana nao kivipi! Atuoneshe njia/mikakati anayotumia. Mfano;
1. Kuipa meno/uhuru Takukuru ya kupambana kweli na mafisadi na wala rushwa, na hasa wale wakubwa.
2. Kufanyia kazi ipasavyo ripoti zote za Mdhibiti n Mkaguzi wa hesabu za serikali, ikiwemo kuwqcbukulia hatua kali wote waliobanika kushiriki kuihujumu nchi.
3. Ameonesha kwa vitendo kuchukizwa na viyendo vya rushwa. Yaani kupitia hotuba zake, maisha yake, marafiki zake, na wasaidizi wake walio mzunguka.
4. Amepitisha sheria kali za kuhakikisha rushwa na ufisadi nchini vinakomeshwa.

Sawa Mheshimiwa Wakilii Msomi?
 
Huyo mume wa Giggy money kichwa ndosi ni chawa kama tu akina baba levo.
Mwaka wa wa 10 bado anashikiria tu position ya mkuu wa wilaya
It is shame !!
Njaa Tz ni mbaya sana
 
Huku ndio kupambana na mafisadi?

Au anafikiri hapo ndio kama ile clip aliyokuwa na yule malaya wake kwenye gari anamshikashika?
 
Back
Top Bottom