Ondoka zitto! yasijeyakakukuta ya Chacha Wangwe.Arudi mahakamani kama anaona hajatendewa haki.Kwanza huyu Albert msando ndio aliyemponza zitto na sheria zake za kitapeli.
Anasema utaratibu umekiukwa, Tundu Lissu hana mamlaka ya kumfukuza ZZK kwasababu kikao halali chenye mamlaka hiyo ambacho ni Kamati Kuu hakijakaa.
Tundu Lissu hajamfukuza bali kajifukuza mwenyewe Zitto
Anasema utaratibu umekiukwa, Tundu Lissu hana mamlaka ya kumfukuza ZZK kwasababu kikao halali chenye mamlaka hiyo ambacho ni Kamati Kuu hakijakaa.