Albert Msando Acha Upotoshaji

Albert Msando Acha Upotoshaji

evangelical

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
5,970
Reaction score
9,898
Haka ka dc kamchongo kapuuzi sana kamepost suala la kusitishwa Bunge halafu kamelimit coment .
Kajamaa kapumbavu sana kana jua kujipendekeza na tokea wamejua Samia ni mpenda Masina wanasifia hadi upumbavu.
Yaani jinsi ulivyompumbavu umeamua kuzuia koment

We Mume wa Gigy Money ndivyo huyo mgonjwa wako gigs alivyokufundisha kwamba kuanzia Novemba 13 ,2020 hadi Agosti 3 ,2025 ni siku 1824?
Ngoja nikuelekeza Nov 13 2020 hadi 31 Dec 2020 ni siku 18
Mwaka2021 hadi 2024 tufanya roughly 365×4 = 1460.
January 01 2025 hadi Agost 3 2025 ni siku 214
sasa jumlisha 18+1460+214= 1692.

kimsingi wewe zoba umepotosha kwanza hiki kipengele cha uhai wa bunge katika katiba kipo kimakosa inabidi kibadilishwe kwani kwa mujibu wa sheria za uchaguzi hakiwezekani unless otherwise mtu ataendelea kuwa mbunge hadi pale mbunge mwingine atakapoapishwa .

Kimsingi Tangazo la kusitishwa shughuli za Bunge Tarehe 27 June halafu Bunge litavunjwa 03 Agusti ni hoja mkanganyiko ni kheri huyu Rais wetu kilaza angesema tu Bunge litasitishwa na kuvunjwa hiyo tarehe 3 Agusti angeeleweka
 
Attachments

  • Screenshot_20250628_123025_Instagram.jpg
    Screenshot_20250628_123025_Instagram.jpg
    472.3 KB · Views: 12

Amekukomesha sana. Alijuwa vichwa maji mpo mtakwenda kuchafua page yake kwa umbumbumbu wenu
 
Yeye ndiye mbumbumbu au mjinga na mpotoshaji halafu huyu ndio aina ya viongozi wapotoshaji wanaompotosha hata Rais kwani wamejua wana rais kichwa maji .
Wamekaa kutoa maposti ya upotoshaji kujikomba kwa Rais huku wamefunga koments kwani wanajua wanapotosha na kuna watu werevu kuwazidi
 
Acha kumtukana Rais kwa umbumbumbu wako. Kwanini usihangaike na Albert Msando peke yake.

Je umeisoma hii :-
Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:

"Rais atavunja Bunge ikiwa uchaguzi wa Rais au wa wabunge utafanywa ndani ya siku tisini baada ya kuvunjwa kwa Bunge..."
 
evangelical unamtukana Rais bila sababu. Hebu msikilize Kikwette hapa:-

Hii ilikuwa July 9, 2015. JK alitangaza bunge litavunjwa September, na hvyo hivyo ilifanyika 2020 kwa Magufuli.
 
Wewe mbumbumbu mpumbavu umetoa wapi hicho kifungu hapo juu .
Ndio maana nasema majitu majinga majinga kama nyie na akina msando mpo mitandaoni kupotosha Uma, pumbavu zenu
 
Attachments

  • Screenshot_20250628_133745_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20250628_133745_Adobe Acrobat.jpg
    509.8 KB · Views: 17
evangelical unamtukana Rais bila sababu. Hebu msikilize Kikwette hapa:-
View attachment 3386657
Hii ilikuwa July 9, 2015. JK alitangaza bunge litavunjwa September, na hvyo hivyo ilifanyika 2020 kwa Magufuli.

Kwenda huko mbona hujamtolea.mfano Marehemu Magufuli alivyolivunja Bunge hiyo 2020 unaleta kumbukumbu ya nyuma zaidi.
Ndio maana nitaendelea kusema nyie mapumbavu mnaojifanya kumtetea huyu Rais mpumbavu wote ni wapotoshaji .
Pumbavu mkubwa wewe.

Watu wengi wamejawa n hisi na mihemuko vitu vidogo kama hivi vinawasumbua
Chuki zimetawatawala sana hawa akina evangelical hadi zimewafanya wawe vipofu hadi kwenye ubongo. Wancmchukia Rais Samia lakini wajuwe kuwa aliyoyafanya kwa miaka 4 hii yatabakia historia kwa vizazi vijavyo.
 
Kwenda huko mbona hujamtolea.mfano Marehemu Magufuli alivyolivunja Bunge hiyo 2020 unaleta kumbukumbu ya nyuma zaidi.
Ndio maana nitaendelea kusema nyie mapumbavu mnaojifanya kumtetea huyu Rais mpumbavu wote ni wapotoshaji .
Pumbavu mkubwa wewe.

Mpumbavu huwa hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Na Mithali 26:4 imetukataza kubishana na wapumbavu tusije kuwa sawa na wao
 
Sawa mpumbavu endelea na upumbavu na ujinga wako ila nakupa pole
 
Mpumbavu huwa hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Na Mithali 26:4 imetukataza kubishana na wapumbavu tusije kuwa sawa na wao
Sawa endelea na upumbavu wako ,yaani wewe ni mpumbavu kabisa kama msando ndio maana mnaandika vitu ambavyo hata havipo .
Kwa hiyo wewe mpumbavu kwa hiyo Ibara ya 90 (2) (b) ya katiba ndio inasoma hivyo. Au hii ni katiba yenu nyie wapumbavu.

"Je umeisoma hii :-
Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba:

"Rais atavunja Bunge ikiwa uchaguzi wa Rais au wa wabunge utafanywa ndani ya siku tisini baada ya kuvunjwa kwa Bunge..."
 
Soma andiko la msando amepotosha kabisa katiba ya nchi
Dogo, natambua hisia zako juu ya siasa za nchi yako na naziheshimu. Kikatiba hiyo ibara ya 90 ndiyo inayompa rais idhini ya kulivunja bunge kwa maana kuwa vikao vya bunge vinakoma tangu alipomaliza hotuba yake. Lakini ni lazima azitangaze kwenye gazeti la serikali ndani ya siku 90 kabla ya uchaguzi na hapo bunge linakoma rasmi. Ndio maana ya muda huo unaouona Hadi agost 3. Naamini umesaidika.
 
Back
Top Bottom