Albert Mangwair alitisha sana na Album ya A.k.A Mimi

barcelonista

Senior Member
Apr 26, 2021
158
146
T.B.T





1.Ngwair ft Jay Mo--Kimafia.

2.Speed 120 ft Chid Benz

3.Cnn ft Fid Q

4.Mapenzi Gani ft Lady Jaydee


5.Mida mibovu ft J.nature,Jay Mo,Ferooz.

6.Wa Kitaa ft Babu wa kitaa

7.Bila Mziki ft Bushoke

8.A.k.a mimi ft Jay Moe

9.Tz Hustles

10.Bonie&Clyde

11.She Perfoms ft T.i.D


Albert Mangwair alitisha sana na Album ya A.k.A Mimi....Lakini hii Album yake ya pili ya N'GE 1982 Ilikuwa sio masihara. Ni Complete Album kutoka kwa Ngwair the Complete Package.


Wangapi waliwahi kuipa sikio vizuri hii Album????


R.i.p CowBama...


Unamkumbuka kwa lipi huyu jamaa kwenye muziki wetu wa Bongo Fleva. na Hip hop...


Alisema Nikifa leo pengo langu halina spea🙌
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom