Albert Einstein: Siasa ni ngumu kuliko Fizikia (Physics)

Albert Einstein: Siasa ni ngumu kuliko Fizikia (Physics)

S.N.Jilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Posts
540
Reaction score
507
Mtaalamu wa Fizikia wa muda wote Albert Einstein aliwahi kunena kuwa; Siasa ni ngumu kuliko Fizikia. Huyu jamaa. Mimi namuunga mkono sana maana kwenye Fizikia (Physics) angalau kuna njia yaani (formular) lakini kwenye siasa ni kama mtu anafanya swali la Hesabu ambalo hata yaani (formular) yake halijui kabisa. Kwa hiyo ni ngumu sana Siasa kuliko hata Hesabu.

Pili, ukiipatia ama kwa njia ovu yaani bila formula utajisifia sana kuwa wewe ni mtaalamu wa Siasa. Kusema kweli hata wale magwiji wa Siasa ni Magwiji tu katika kuielezea Siasa katika Nadharia lakini si vitendo. Kwenye vitendo, hakuna nadharia ambazo wengi wanazielezea kwenye vyombo vya habari na kuandika maandiko marefu.

Kama kuna mtu anaamini kuwa Siasa ni rahisi kuliko Fizikia atoe sababu zake,
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    11.6 KB · Views: 3,115

Physics involves predictable results guided by Scientific principles, while human behavior does not follow scientific principles- it involves human element which is not predictable
 
Physics involves predictable results guided by Scientific principles, while human behavior does not follow scientific principles- it involves human element which is not predictable
Umenena vyema kabisa Chuakachara.
 
It is true
BT formulae IPO japo in ngumu kuliko ya physics.

Wakati wa vita ya Amin Kagera, Nyerere alisema mataifa ya nje yakiingilia vita hii upande mmoja, tutakaa na Amin tumpige mgeni, then tukimaliza kumwondoa mgeni, tutaanza ugomvi wetu tena na Amin. Adui wetu ni CCM, nikipata silaha ya kuipiga CCM nitaitumia kumwondoamadarakani. Baada ya hapo tutakaa na Lowasa tujadili ufisadi wake na kuutolea maamuzi. Lakini adui wetu sote mkubwa ameondoka kwanza.
 
Lengo ni Tembo Afe Iwe Kwa Kutumia Unyasi,Bua au Bomb La Nyukilia.
 
Mtaalamu wa Fizikia wa muda wote Albert Einstein aliwahi kunena kuwa; Siasa ni ngumu kuliko Fizikia. Huyu jamaa. Mimi namuunga mkono sana maana kwenye Fizikia (Physics) angalau kuna njia yaani (formular) lakini kwenye siasa ni kama mtu anafanya swali la Hesabu ambalo hata yaani (formular) yake halijui kabisa. Kwa hiyo ni ngumu sana Siasa kuliko hata Hesabu.

Pili, ukiipatia ama kwa njia ovu yaani bila formula utajisifia sana kuwa wewe ni mtaalamu wa Siasa. Kusema kweli hata wale magwiji wa Siasa ni Magwiji tu katika kuielezea Siasa katika Nadharia lakini si vitendo. Kwenye vitendo, hakuna nadharia ambazo wengi wanazielezea kwenye vyombo vya habari na kuandika maandiko marefu.

Kama kuna mtu anaamini kuwa Siasa ni rahisi kuliko Fizikia atoe sababu zake,
....hahaaaaa!!! that is it! unalijua leo.
 
Ukiwa na pesa za kununulia watu siasa ni rahis sana. Huhitaj kuwa mueongeaji mzuri wala kuwa na akili nyingi. Unaweza kuwa hata jambazi maarufu lakin ilimradi hujafungwa utateleza tu kisiasa
 
Ndio maana, kwa kuonyesha msimamo wake alikataa ombi la aliekuwa waziri wa kwanza wa Israel (David Ben Gurion) kumuomba awe rais wa Israel baada ya rais wa kwanza (Chaim Weizmann) kufariki.
Albert Einstein alishakuwa raia wa Marekani baada ya kuhamia huko kukimbia shida ya utawala wa Kijerumani dhidi ya watu wenye asili ya kiyahudi nchini mwao.
Akiwa Marekani rais Chaim Weizmann alifariki Nov 9, 1952 akiwa madarakani. Hivyo Ben Gurion akafunga safari rasmi kumuona Einstein kwa nafasi ya urais. Einstein alikataa katakata ofa hii. Einstein alifariki April 18, 1955.
Wengi wetu kama tunapata fursa kana hiyo tutaipokea, ila yeye aliona akiingia kwenye somo hili la Pollitics basi angepata disco, achilia supplementary na mwishoni kuchafua heshima yake.
 
Lowassa alijua atakatwa lkn kama alivofanya "masiha mwokozi" aliacha yatokee ali kutimiza maandiko apate kutukomboa!Big up Edo songa tu lazima kieleweke mwaka huu.
 
Its all about who gets what,when and how.Sasa hii fomula ua aina urasmi kua kianze kipi na mwisho nini.
 
Siasa ni kama ndoa, kila mtu/chama cha siasa na formula yake.
 
Lowassa alijua atakatwa lkn kama alivofanya "masiha mwokozi" aliacha yatokee ali kutimiza maandiko apate kutukomboa!Big up Edo songa tu lazima kieleweke mwaka huu.

Hahahahaha! aisee watu mna maneno!
 
Mwanzoni nilifikiria kama Albert, lakini sasa hivi ninafikra mpya; ukweli ni kuwa siasa ni rahisi zaidi kuliko kunywa maji kwa sharti la kwanza kuwa na taarifa nyingi sana za ukweli na uongo ambazo ni za ndani ya jamii/nchi husika na za jamii zingine zenye uhusiano wa kiukweli, kinafiki na kiungo na jamii hiyo.
 
Huo ni ukweli usiopingika, ni kama ilivyo kwenye soka. Hakunatimu isiyofungwa. Ndio maana siwezi kuiweka imani yangu kwa mwana siasa kwa sababu msimamo wake hauko imara, leo atasema hiki na kesho kile kutokana na mazingira.

Vile vile siwezi kua shabiki wa timu ya mpira wa miguu wakati sifanyi jitihada yeyote kuhakikisha tunashinda/hatufungwi ila nnaishia kuambulia maumivu.
 
Ukiangalia kwa urahisi wa kubadilishana taaluma unaweza pata wanafizikia wengi watakao weza kuwa wanasiasa bora iwapo wata-switch. Alikadhalika uwezi pata wanasiasa wengi kubadilisha taaluma hiyo na kufikia kiwango cha kuwa mwafizikia mwenye kiwango cha juu, to be one apart from being clever it also takes years of training to become a top physicist unlike politics.

Kitu kinachofanya siasa kutoeleweka au kuonekana ngumu ni the fact of not having unchangeable truths, unlike physics ambapo unaweza endeleza theory based on existing old age facts until proven otherwise; siasa inataka uwe unafanya constant investigation what society want and people have a variety of choices and differ in their needs and priorities all the time thus making political decisions more challenging. Nevertheless theoretically the process of making those political decisions are not as complicated as those attributed to the maths of physics.
 
Hivi enzi za akina Albert Einstein, Sir Isaac Newton, Galileo Galilei, pia akina Karl Marx, Friedrich Engels, kwa uchache kulikuwa hakuna doctorate degree? Kwa sababu hao wote ingekuwa ni leo wangeitwa ma-Dr. au ma-prof.
 
Back
Top Bottom