Albert Einstein na Charles Darwin.......

mbona nyie mnawajadili wanawaume wenzenu wameoa mabinamu? kama mko jidah mnaweza katwa na jambia!

kama vipi haina tatizo kama hujaoa unaweza jitwalia Mwali ukaoa tu...

kwani we mipango yako ipo vipi?
 
Last edited by a moderator:

Kama akiibuka mtu akasema Mental health sio tatizo kwa sababu Eistein alikuwa hivyo na kusababisha mambo chanya kwenye maisha atakuwa amekosea?

Nimeshangaa kidogo kusikia huyo mtu alikuwa na hiyo makitu!!!!
 

Inawezekena wengi hatujui kuwa kuwa bora kwenye eneo moja la maisha hakumfanyi mtu kuwa na "akili"

Ni zaidi ya hapo!!!!!!!!!
 
mbona nyie mnawajadili wanawaume wenzenu wameoa mabinamu? kama mko jidah mnaweza katwa na jambia!

Kujadili si kuuliza, hawa watu washakufa, ni public figures, kuna mtu kauliza maswali yamemtatiza tunafanya hisani ya kueleweshana.

Huwezi kunikamata hata siku moja nimeanzisha thread ya kujadili sababu za mwanamme kuoa, naweza kuelewa mwanamke akianzisha thread hiyo, au mwanamme akianzisha thread ya kutaka kuelewa sababu za mwanamke kuolewa, lakini mwanamme kumuingilia mwanamme mwenzake anavyooa kuna kitu hapo si kosher kama si kwashiorkor kabisa.

kama vipi haina tatizo kama hujaoa unaweza jitwalia Mwali ukaoa tu...

Ndiyo nyie nyie mnaooza vitoto Afghanistan. Ushaelewana naye huyo Mwali?

kwani we mipango yako ipo vipi?

Again hili swali si kosher kwa mwanamme kumuuliza mwanamme.Mimi naweza kujibu watoto wanawake tu swali hili.

Nikikwambia mipango yangu mimi basha nibong'olee utaniambiaje?

I did not want to go there, and I am not "basha", but it seemed like you are forcing the issue.

Maswali mengine fikirini kabla ya kuuliza.

We junya nini?
 

Daaaah!!!!!!!!!

Nimecheka sana!!

Khaaaaaaaaa!!!!!
Mkuu wa chuo harudi tena hapa!
 
Last edited by a moderator:
Kama akiibuka mtu akasema Mental health sio tatizo kwa sababu Eistein alikuwa hivyo na kusababisha mambo chanya kwenye maisha atakuwa amekosea?

Nimeshangaa kidogo kusikia huyo mtu alikuwa na hiyo makitu!!!!

There is a thin line between genius and crazy.

Wakati wengine wanaona kama autism na obsessive compulsive kama mental/ neurotic disorders, kuna kampuni limetoa tangazo la kazi linataka watu wenye hizo conditions tu kwani wanaonekana kuwa focused sana kwenye kazi.

The same mental issues Einstein had are probably the same factors that are responsible for his exceptional insight, plus of course he grew up in a Jewish culture that valued education for thousands of years.

Even a broken clock is right twice a day. Uzuri wenzetu wanajua utu na kumtumia kila mtu kwa sehemu yake. Nishaona jamaa mmoja ana matatizo ya akili mpaka motor skills zimekuwa severely challenged, lakini anafanya kazi kwenye supermarket anapanga bidhaa vizuri, na mcheshi sana tu ingawa hayuko alright upstairs, watu wanampenda na yeye anawapenda, anapiga kazi vizuri kuliko wengine wenye akili sawia.

Huku kwetu bonge la stigma utafungiwa ndani.

Go figure.

But I digress.
 

Red:.......Hapo nilikua sijui

Blue:......Hapo napo kuna changamoto yake,badala ya kukiona kinyesi kama "kinyesi" tunaweza kugundua faida zake nyingine na tukafanya maisha yetu kuwa mazuri zaidi

Bold:......Kuna haja ya kubadilika ili tutoke kwenye mazoea ya kuamini kila mwenye matatizo ya akili ni kichaa!!!!!
 
kwani hujui anaamini katika sayansi?

Ni vyema ukajibu swali kabla hujauliza swali

Nimekuuliza umejuaje,hajanijibu

Unaniuliza tena

Mi sijui kama yeye ni mwanasayansi

Yeye yupo hapa,kwanini unamsemea?

Huenda hata haamini katika kuamini

Uageuka kuwa msemaji wa Kiranga

Nani amekupa hiyo kazi?

Kuamini ni nini??
 
Last edited by a moderator:
Nahisi jiniazi anaonekana kichaa sababu mambo anayoyawaza sio asilimia kubwa ya watu inayawaza.

Katika hali ya kawaida, embe lianguke mtini badala ya kula mtu anajiuliza kwa nini halikwenda juu? Hiki ni kichaa tena cha wazi hata kama alileta kitu kipya.

Ndio maana huku kwetu uswazi maprof na ma-dr tunawaona wehu tu, sababu hatuongei mambo tukaelewana.
 
Ndio maana huku kwetu uswazi maprof na ma-dr tunawaona wehu tu, sababu hatuongei mambo tukaelewana.

Maprof na Madoc wa wapi? UDSM? Mzumbe? Tumaini? Au wapi hasa?

Ambao nishaishi miongoni mwao na kujumuika nao katika shughuli mbalimbali wote walikuwa ni watu wa kawaida sana. Sikuwahi kushindwa kuwaelewa hata kidogo.

Kama watu wengine tulivyo, hata wao walikuwa na haiba tofauti tofauti - walikuwepo walevi (wa pombe za kisasa na zile za kienyeji), walikuwepo wazinzi, walikuwepo mishen-town, mazoba, washamba, mashapu, wajinga wajinga, werevu, na kadhalika, na kadhalika.

Maprofesa na madokta wafundishao vyuo vikuu ni walimu tu. Hawana umahsusi ama utofauti wowote mkubwa na sie raia wengine.
 

Savants come to mind!

Ever heard of Kim Peek?


Halafu kuna huyu Jedediah Buxton. Mchizi hata kuandika alikuwa hajui lakini ikija kwenye numerali ni balaa.




10 Most Fascinating Savants in the World

Hivi mchizi kama Jedediah unaweza kumwita ni kilaza kweli kwa vile tu hakujua kuandika?

Human intellect is one of those phenomena. No matter how much it is studied, researched, analyzed, and quantified, it still cannot be fully understood.

So, so much for those IQ tests.

Sina hakika (Jedediah) kama hata angeweza kuwa mwanachama wa Mensa!
 
Basi nahisi wewe umekua around madr na maprof hadi mkaweza kuelewana.

Lakini kuna maeneo hamna maelewano, raia tunaona dr kachanganyikiwa na yeye anashangaa how ignorant a human being can be?

Mradi tu tunakinzana kimawazo.

 
Kuna Banach - Banach Spaces. Kiufupi, God has created and devoted them to serve the world.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…