D Daisam JF-Expert Member Joined May 23, 2016 Posts 2,622 Reaction score 3,144 Jul 28, 2022 #1 Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC.
Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,111 Reaction score 117,864 Jul 28, 2022 #2 Hongera kwake.
M Mwanamwaiche JF-Expert Member Joined Apr 13, 2022 Posts 665 Reaction score 973 Jul 28, 2022 #3 Kweli mwamba ni mnyekevu na sio wa majungu wala kujikweza, Mungu amuinue zaidi
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,081 Reaction score 75,446 Jul 28, 2022 #4 Aache kuvuta bangi sasa Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,388 Jul 28, 2022 #5 Wale waliokutukana, one day watakusifia. It's just a matter of when
Ngumbo1 New Member Joined Dec 25, 2021 Posts 4 Reaction score 3 Jul 28, 2022 #6 Salute sana kwake mzee wetu Chalamila (RC-Kagera)
favourismyname JF-Expert Member Joined Jul 17, 2022 Posts 403 Reaction score 361 Jul 28, 2022 #7 Daisam said: Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC. Click to expand... Msimamo upi ss mkuu? Mbona alienda Kwa Mwamposa kulia kule mpk akaombewa![emoji6][emoji28] Thubutu yake! We shukuru Mungu kamkumbuka basi,hakuna Cha msimamo wala nn
Daisam said: Ki ukweli, nilimkubali sana Chalamila wakati ule wa JPM. Hata sasa namkubali sana tena sana. Kiongozi lazima uwe na msimamo, lakini pia ni lazima kuchukua hatua kali pale inapobidi. Hongera sana TINGATINGA kwa kuteuliwa tena kuwa RC. Click to expand... Msimamo upi ss mkuu? Mbona alienda Kwa Mwamposa kulia kule mpk akaombewa![emoji6][emoji28] Thubutu yake! We shukuru Mungu kamkumbuka basi,hakuna Cha msimamo wala nn
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,484 Reaction score 34,223 Jul 28, 2022 #8 favourismyname said: Msimamo upi ss mkuu? Mbona alienda Kwa Mwamposa kulia kule mpk akaombewa![emoji6][emoji28] Thubutu yake! We shukuru Mungu kamkumbuka basi,hakuna Cha msimamo wala nn Click to expand... Kupata uteuzi ni Mungu kukukumbuka? Ina maana alizaliwa ili aje kuteuliwa?
favourismyname said: Msimamo upi ss mkuu? Mbona alienda Kwa Mwamposa kulia kule mpk akaombewa![emoji6][emoji28] Thubutu yake! We shukuru Mungu kamkumbuka basi,hakuna Cha msimamo wala nn Click to expand... Kupata uteuzi ni Mungu kukukumbuka? Ina maana alizaliwa ili aje kuteuliwa?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,775 Reaction score 28,222 Jul 28, 2022 #9 Kama mimi siendi walichomfanyia mwanzo ni uhuni muhuni hata vyombo hakushushs uteuzi ukapigwa juu juu akarudi
Kama mimi siendi walichomfanyia mwanzo ni uhuni muhuni hata vyombo hakushushs uteuzi ukapigwa juu juu akarudi
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,743 Jul 28, 2022 #10 kila la heri kwake... hata na yeye ana familia jamani