Alan Walker, msanii wangu bora wa EDM

Aisee upo vzuri sana mkuu
 
Hizi EDM kama zimeambatana na spirits fln maana zinagusa kabisa ile deep
 

Hizi EDM kama zimeambatana na spirits fln maana zinagusa kabisa ile deep
Yan znakoshaga sana🔥🔥🔥🔥
 
Mimi naipenda meaning.
Kali sana.
 
Mwenye album za uyu jamaa(alan walker) naomba anitumie zipped file [emoji120]
 
Calvin Harris mnamuongeleaje? Bado mchumba kwenye Edm??
Martin Garrix
 
Huyu chali ndo msanii wangu kila mdaa kuzielewa vizuri lazima uwe mtu wa safari ndefu utaenjoy sana
 
Uzi wako umenifanya nichimbe kwa undani hizi EMD. Tayari nna playlist.
Ila nilimfuatilia m'bad Avicii. RIP.
 
Hahah noma..ebu nipe playlist ya ngoma za Avicci bro
Uzi wako umenifanya nichimbe kwa undani hizi EMD. Tayari nna playlist.
Ila nilimfuatilia m'bad Avicii. RIP.
 

Hahah noma..ebu nipe playlist ya ngoma za Avicci bro
Aviccii nilishamsikiliza sihitaji playlist yake.
Niliyotengeneza sasa ni hiyo hapo ya ip_mob.

Weekend nitasikiliza kuchuja mbivu na mbichi na probably kuweka nyingine zilizotajwa humu.
 
In maa video zake huwa zinaonyesha sana controversial issue za darkside au ancient civilization, sijui kwanini anapenda hizi idea ?
In short jamaa yupo kama Chris Brown, maswala ya portals na parallel universe!
 
Jamaa video zake huwa zinaonyesha sana controversial issue za darkside au ancient civilization, sijui kwanini anapenda hizi idea ?
Umeona ee, huyu jamaa yupo kama Chris Brown na maswala yake ya portals na parallel universe
Ila Breezy yupo tofauti, ye anapenda maswala ya future tech na mambo ya tech kiujumla. Sijuu hiz interests jamaa anatoaga wapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…