INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 993
- 1,351
kygo-it aint me na happy now nikiwaga na stress huwa nasikilizaNilikuwa natafuta comment ambayo nitaliona jina la Kygo pamoja na Robin Schulz. Ahsante sana mkuu, hayo majina mawili ni ya watu ambao napenda sana kile wanachokifanya kwenye ulimwengu wa music.
Tuko pamoja kaka.Nilikuwa natafuta comment ambayo nitaliona jina la Kygo pamoja na Robin Schulz. Ahsante sana mkuu, hayo majina mawili ni ya watu ambao napenda sana kile wanachokifanya kwenye ulimwengu wa music.
Remind me to forget haukubali mkuu?kygo-it aint me na happy now nikiwaga na stress huwa nasikiliza
ninayo ila haiifikii it aint me
Mkuu wewe ni mimi kabisa,
Lost frequency
Gostan
Galantis
Edward maya-stereo love
Vaxento
Avicii
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kasikilize na ghost pamoja i don't wanna go ni🔥🔥🔥Alan walker is the best. Marshmello najitahidi sana kumsikiliza coz nae ni mwana EDM lkn hajawahi nikosha.
Nikiwa nafanya coding midnight huku nasikiliza ngoma za Alan huwa nahisi niko dunia fln hv ambayo haielezeki kiukweli.
My playlist:
Faded
Lost control
Alone
Diamond heart
Alone II
Lily
Sing me to sleep
All falls down
Legends never die remix
etc...
Avicii alishafarikiHii Faded nimeisikiliza ni noma sana. Ila AVICII ni hatari yule jamaa.
Depression is real. Maana mchizi yasemekana alijiuaAvicii alikuwa anaitendea haki edm, big loss
Ndio mkuu.Avicii alishafariki