fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
noumaaaahHalafu atakuja kusema amesoma UDSM
noumaaaahHalafu atakuja kusema amesoma UDSM
Shukrani sana mkuu kwa kunielewa hata me nilikuwa nawaza nikileta hii mada humu nitapa ufafanuzi cha ajabu wanaibuka wakosoaji wengi.. Ila ngoja waje wajuzi watujuzeMtoa mada mimi binafsi nimekuelewa sana,na hato hao wahariri wetu pia,wameherewa nini umekusudia.ukweli kuna sehemu nyingi sana haswa vijijini kuna alama zilizo wekwa toka zama hizo na wakoroni nimeona maeneo mengi rakini sijui alama hizo zina maana gani?ata ningependa kujua hiko kitu.
UTAARAMU XHALAMA. X
ALAMA √√√√√
kipe thamani kiswahili chetu mkuu
Serikali ipi unayoizungumzia mkuu?Sidhani kama serikali yetu imewahi kufuatilia kutaka kujua.
Serikali ya Kimila.Serikali ipi unayoizungumzia mkuu?
Mkuu hiyo serikali ni hii ya chizi au?.Serikali ya Kimila.
Mkuu hiyo serikali ni hii ya chizi au?.
Muulize Mkapa aliepokelewa na ndege mbili ujerumani,Sidhani kama serikali yetu imewahi kufuatilia kutaka kujua.
Naelewa sana kiongozi.Hujui maana ya serikali ya Kimila?
Ngoja nami kuna sehemu nitazama mwenyewe kuangalia kilichopo.Muulize Mkapa aliepokelewa na ndege mbili ujerumani,
Sema marekani aliharibu dili la mjerumani ila huwa wanakja na kuchukua vyao huku serikali ina kale ka msemo haiamini katika hayo maalama
Hiyo ni swastika tu, alama ya Nazi Germany. Hizo zlikuwa enzi za Adolf Hitler.Home
View web version
Tuesday, April 6, 2010
Madaraka at 1:05 PM
Mali za Wajerumani
Kuna maeneo mengi ya Tanzania, kama hii hapa kwenye picha iliyopo karibu na kijiji cha Butiama, unapoweza kuona alama ambazo hazijulikani ni za nini. Maelezo yasiyo na uthibitisho yatolewayo na baadhi ya watu ni kuwa hizi ni alama ambazo ziliwekwa na Wakoloni wa Kijerumani waliokuwa nchini kati ya mwaka 1891 na 1919. Inasemekana waliweka hizi alama maeneo ambako walichimbia madini yenye thamani.
Alama hizi zilizopo Butiama zinaonekana ni za muda mrefu sana uliyopita. Ni alama zenye msalaba, na zinakaribiana kwa futi chache tu. Miaka michache iliyopita kwenye sehemu inayofanana na hii, ndani ya pango, watu kadhaa walikufa wakijaribu kuchimba ndani ya hilo pango baada ya kufukiwa na mawe na kifusi.
Wenye utaaramu wa haya mambo tunaomba mwongozo.
Nawasilisha
wataalamu sio wataaram, makosa haya yanakuonesha mtu huyo wa level ipi
Umesahau gpa 32Halafu atakuja kusema amesoma UDSM