Alama zako bado ninazo, ulinitesa we binti...eboo!

Alama zako bado ninazo, ulinitesa we binti...eboo!

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
29,020
Reaction score
40,793
Habarini Wadau,

Sitamsahau mpenzi wangu mmoja wa kijijini wa kipindi kile cha chuoni mwanzoni...ana jina la kiasili kabisa la usangini akiitwa Nafikahedi ( ana jina lingine rasmi)

KIUKWELI Mimi huwa napenda sana wasichana au wanawake wanaojikubali jinsi walivyo pasipo kuigiza maisha, no matter waonekane masikini au washamba mimi silijali hilo na nitatembea naye kokote kwa majidai na mbwembwe huku nikijiamini na kuwa jasiri kama simba dume.

Ila huyu nimpendaye nilishindwa kuendelea naye kwa kuwa alikuwa ananing'ata sio mchezo

Sio siri nilikuwa nikiingia naye room na wakati wa ile shughuli akikaribia kufika kileleni NI LAZIMA ANING'ATE na sio mara moja limetokea hili

Ila ninachoshangaa ni kuwa baada ya hapo atajutia sana na kuomba nimsamehe eti anajisahau ila baadae tukikutana tena ataning'ata tu na kutoa sauti mbaya...lasivyo ataning'ang'ania na kucha mpaka sikumoja mi nikamwambia kabisa akining'ata nitampiga au kumuwekea shuka mdomoni ila wapi hasikii.

Mwaka jana nilienda kijijini kwao ila ni kwa Mtendaji wa kata sio kwao lakini nikamwona amekaa mahali dukani na wenzie akaniona na kunitext

"Mambo nimekumiss, ghafla nikamwonesha alama shingoni kwangu aliyoniwekaga yeye kwa meno yake mara ya mwisho kuning'ata....halafu alichoniudhi zaidi eti akaniambia nipake mavi ya kuku patapona mpka nikasema huyu amekuaje?

Akanitext tena I promise sikung'ati tena...then akanitamkia kwa sauti isiyo kubwa saana ila wenzake hawakuelewa chochote aliniambia

"sitakung'aa ten" mimi nikamuelewa, Ila wenzake wakabaki kuduwaa

Hivi kuna mtu humu keshawai kufanyiwa hivyo na mpenzi wake?

Way out ???
 
Huu Uzi ulishaga kuja hapa, naona umerudi tena

Ni yule yue mhanga au huyu mwingine ?
 
Hayo ndiyo mapenzi yenyewe au watu wanajiongeza??
 
kuna mmoja alishaleta uzi humu kuwa aliponea chupuchupu kunyofolewa dudu lake
 
Kwa jirani yangu usiku kulikuwa na kelele sana. Majirani walifikiri kuna mtu ametekwa na kufungiwa ndani na usiku anateswa.

Waliropoti police, siku isiyo ma jina police walivumja mlango na kusearch nyumba. Jirani amerudi anakuta mlango umevunjwa. Kwenda police ndiyo anapata habari kamili.
 
Unaniangusha sasa mtani. Ungemuacha tu si ndio namna yake ya kupokea raha hiyo. Hahahàaa.
Mtani ni sawa lakin kama kunamtu anapita lazima asikie Kelele binafsi sipendi mwanamke wa kimya kimya napenda nisikie kinanda lakin sio makelele
 
Hahahahaaaa mi nisingevumilia asee ningemuwasha vibao vya kufa kiumbe.asingerudia siku nyingine,kila akikumbuka vile vibao akitaka kufika kibo anaghairi mwnyewe
 
Sasa na wewe kama kila mara anakung'ata, ulikuwa unamtafuta wa nini..?? Na kwann umfikishe kileleni sasa??

Hapo hata usipomfikisha ila wewe ushakojoa unavaa tu unasepa. Akikuuliza unamjibu NAOGOPA KUNG'ATWA. Nextym hatarudia
 
Back
Top Bottom