Alama zako bado ninazo, ulinitesa we binti...eboo!

Alama zako bado ninazo, ulinitesa we binti...eboo!

Mtani ni sawa lakin kama kunamtu anapita lazima asikie Kelele binafsi sipendi mwanamke wa kimya kimya napenda nisikie kinanda lakin sio makelele
Ahaaa. Hapo sawa mtani.

Ila hizo kelele kama mtu ananyongwa hata sio aisee.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Utoto huo, yaani kung'atwa tu unatak na sisi tushee maumivu yako? Acha bwana! Kupigana meno huko m sikuwezi
 
Nyonya damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa. Aiseeee. Pole sana mkuu.

Ila hizi raha hizi acha kabisa yaani upokeaji wake upo wa kila aina. Kuna wengine nasikia hadi wanakakamaa kabisa baada ya muda ndio wanakaa sawa. Duuh.
Hahaha wewe unapokeaje?
 
Hahaha wewe unapokeaje?
Duuh. Swahiba wako hata sijui huwa naipokeaje hiyo raha.

Ila itakuwa sina madhara. Hahahaaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Duuh. Swahiba wako hata sijui huwa naipokeaje hiyo raha.

Ila itakuwa sina madhara. Hahahaaaa.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] unaipokea kwa utulivu wa hali ya juu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila sio siri Swahiba nimejikuta napata kicheko cha hatari kwa hiki ulichokiandika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] basi itakuwa ni kinyume chake
 
Ilishawahi kunitokea nishangatwa sana nishafinywa sana hadi sasa nina alazama za makucha ya mtoto mmoja hv wa kimbulu
 
Back
Top Bottom