Alama za misalaba ni upagani

Ndio by the time the Bible was written that was the meaning.Ila naomba usini-distract,from the real thing,believe in Jesus Christ.Kwaheri,dialogue closed.
 
Ndio by the time the Bible was written that was the meaning.Ila naomba usini-distract,from the real thing,believe in Jesus Christ.Kwaheri,dialogue closed.
If ukiwa Distracted kwa Kumuamini For Only Words that means You werent Beleive in Him Anywey..

Na kwanza Yesu Mwenyewe alikuwa Anapenda Watu waujue Ukweli wamtafute yeye Mwenyewe na ndo maana Anasema..

Yohana 8:32

"tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru."

lakini cha kushangaza wakristo wengi sana Ukiwa mmojawapo Hampendi kusikia Kweli Mnapenda kufuata Blindly (Ndo maana mnapewa sana maji na mafuta) kwa sababu mnajiaminisha kwamba Mmesimama..angalieni msije mkaanguka kama Mtume paulo alivyowaonya...

1 Wakorintho 10:12

Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke.


Lakini hata hivyo sishangai kwa sababu vipofu siku hizi Huongoza vipofu wenzao na mwisho wote hutumbukia shimo la ignorance..

Tafsiri ya Paganus Au upagani inayotumika Sasa imeanza kutumika miaka ya 500s AD kipindi Roman catholic Inasimika Mizizi Rasmi Roma na sio Kabla ya Hapo..

Wakati Maandishi hayo yaliandikwa kipindi cha karne ya kwanza na ya pili..

So nachokushauri Jikite kwenye kusoma Sana..

And Yes, I Dont Normally Conversate, Where I dont learn Anything..
SO I will surelly end this dialogue
 
Mm ni mkristo, msalaba sio alama ya ukristo,na sio wakristo wote wanatumia msalaba co picha Wala sanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…