Mkuu kama Una PDF ya symbolism chochote Kile kilete humu Kwa manufaa ya jukwaaMkuu hiyo sio tafsiri ya Pagan...
Pagan limetokana na neno la kilatin paganus linamaanisha Wanakijiji /Watu wa kijijini au Watu wa mikoani...
Nyinyi ndo mnalitumia Vbaya na Dini zenu hizo..
Kwa mfano nikisema wazazi wako ni wapagani namaanisha sio wa Dar au wa Dodoma..
Yaani wa mikoani..
Au ni wa vijijini..
Symbolism ni process n japo kweli nina pdf kadhaa ila inachukua muda Kujifunza.. Maana inahusisha Kuunganisha Dots na Conmection mbalimbaliMkuu kama Una PDF ya symbolism chochote Kile kilete humu Kwa manufaa ya jukwaa
Biblia ikizungumzia Msalaba haimaanishi huo mtiMkuu Proved!
Vijana wa Siku hizi wanasoma Google na kuja kuanzisha Thread [emoji28]
Ni ajabu sana kwa mtu anayejua Maana ya Hizo alama kuandika alichoandika neno la msalaba ni neno Kubwa sana na huenda limezidi hata uwezo wa mtoa mada kuliwasilisha...
Alama kama hiyo Ya Samaki hajui ni Alama inayomaanisha "Cristus" yaani masihi na ndo iliyumika kweny makanisa ya Awali yote..
Mi namshauri akasome SYMBOLISM kwanza kabla ya kuingia kwenye hii Kitu ni mweupe sana..
CC: Jackwillpower
Mkuu nakushauri kabla ya kuanza kuandika kuhusu Symbols Kasome kwanza Symbology...Biblia ikizungumzia Msalaba haimaanishi huo mti
Why mnaendelea kudanganywa?
Mbona vitabu vimeweka wazi,
Hahahaaa. Ile dini nyingine mna ideologies zenyuuu noumaaa!
Unitag ukiiwekaMada yao ipo njiani
EwaaMsalaba umeiga Ankh ya Misri ya Kale.
Sawa kakaUnitag ukiiweka
Nimetumwa kusema ukweli ili iwe ushuhudaImani isiyokuhusu unajihangaisha nayo ya nini? Kwa taarifa yako wakristo tunajivunia sana Msalaba wa Kristo, alama ya ukombozi wetu. Mungu mwenyewe alichagua alama hiyo itumike kumkomboa mwanadamu, wewe ukiwemo pia. Baki na ukaidi wako, mbingu utaisikia tu. Wewe endelea kuamini utakacho utuache sisi na "upagani" wetu!!
Msalaba uliodanganywa unatumiwa na wakristo , ni umetoka Kwa wapagani ,Yesu hakuwahi kuagiza mmbebe misalaba ,hiyo miti kuvaa na kuiweka kama ishara mmepata wapiMisalaba ipo ya aina nyingi ila msalaba wa wakristo unajulikana umbo lake.. Kumbuka kwamba neno la msalaba ni upuuzi kwa wanaopotea. Msalaba ni alama ya kanisa, ukiona msalaba jua hapo kuna kanisa. Msalabani aliteswa kristo, ndiyo kumbukumbu kwa waumini wa leo. Masonic nao wana misalaba yao, ndiyo hiyo yenye maumbo ya ajabuajabu
Ni wabaya ndio wanadanganya watu
Roman empire imesharudi na kila kitu chake imekibatiza Kwa jina la kidiniRoman Empire haijafa ndio hiyo imegeuzwa kuwa kanisa,,,
Wewe unahitaji msaada mkubwa sanaKifupi mleta mada hutegemei Biblia pekee kama kitabu Cha mwongozo wa dini yaani kitaalamu inaitwa Sola Scriptura kuwa Biblia hahitaji msaada wowote nje ya Biblia
Kuna wengine hugawa siku za kuabudu Kwa wapagani kuwa ni siku zao wasiabudu mfano Sunday husema ni siku ya Mungu jua wanasahau hata Monday wapagani walibadili kuwa siku ya kuabudu mwezi na siku Saturrday ilikuwa ya kuabudu Mungu wa sayari ya Saturn ndio maana inaitwa Saturday , Thursday ilikuwa siku ya kuabudu Mungu radi yaani Turnder
Msoma maandiko hategemei matabu nje ya Biblia kutetea ilichosema yawe matabu ya Mfalme costantino au yeyote
Ukiona kidini hakitumii Biblia pekee kujenga doctorine ya Imani Yao Hadi wawe na matabu mengine nje ya Biblia jua hiyo Imani inafundisha Imani za mashetani iepuke kama ukoma
Imani ya kweli ya Kikristo inasimama kwenye Biblia tu full stop Sio matabu ya sijui ya Mfalme Costantino au yeyote
Ulichoandika ni upotofu wa kuokota mavitabu majalalani
Biblia inasimama kama yenyewe tu haihitaji utetezi wa matabu mengine ya wanadamu
Mfano Mungu alisema Kwa Lugha rahisi tu fanya kazi siku sita ya saba pumzika hakutaja ni juma ngapi .
Sasa mtu akitokea kusema siku Mungu alisema fanya kazi siku sita ya saba pumzika kuwa hiyo siku ni jumamosi au jumapili muongo Sio lazima hiyo siku iwe jumapili au jumamosi yaweza kuwa yeyote kutegemea jamii mahali walipo mfano Uarabuni ijumaa ndio Huwa siku ya saba kwao kule sabato itakuwa ijumaa sababu mtu anamfanya kazi mfululizo kuanzia jumamosi ijumaa sabato kwake
Soma Biblia tu inatosha hayo matabu mengine hayana maana yanakujaza mavitu kichwani yasiyo na maana
Unajaza ujinga tu

Mkuu hata wewe umeshindwa kuelewa Hilo andiko halizungumzii hiyo miti na alama za misalaba ,Bali linazungumzia kifo Cha Yesu yaan WokovuMkuu umeandika sentensi ngumu Sana..
Hili neno hapa chini umelielewaje ?....
1 Wakorintho 1:18
Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.
Kwa kiingereza....
1Co 1:18 For the preaching of the cross is to them that perish foolishness; but unto us which are saved it is the power of God.
DR Mambo Jambo Shotocan
Rabbon
Kifupi mleta mada hutegemei Biblia pekee kama kitabu Cha mwongozo wa dini yaani kitaalamu inaitwa Sola Scriptura kuwa Biblia hahitaji msaada wowote nje ya Biblia