Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Kulikuwa na walevi sana huko ee!Ilipaswa iwekwe kwamacheni enzi hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we jamaa unahusika nnUlishawahi kumuona mlevi kagongwa na gari!?wako makiniiiii
Malisho ya ndege au kuku. Nchi za wenzetu kuna maeneo maalumu ya kulishia ndege na kuku ambapo lazima wakatishe barabara kwa kutembea. Niliona huko Ujerumanina hii hutumika wapi?