chakochetu
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 108
- 37
mbona twiga yupo kwenye noti? Hebu chukua noti ya sh 10,000 geuza nyuma utamwona, au ulitaka twiga mkuuuuuuuuuuuubwa?
Wameondoa TWIGA sababu wapo kwenye mchakato wa kum-replace na NGURUWE a.k.a Kitimoto
labda zile 10,000/=feki ndio yupo mbona hakuna naona kuna tembo tu ila wangeweka Kitimoto ingeleta maana
:bowl:Kuna sura ya mtu itawekwa, yeye ata-replace wote wawili mtu na mnyama!! Napendelea tungeweka SUNGURA maana tumekuwa wajanja wajanja na waongo kila siku kwa kila kitu; kwahio option ziko mbili nilizotoa
Moja; itafutwe sura ya kiongozi atakaye-replace nafasi ya Mnyama na Mwanandamu
Pili, Tuweke Picha ya Sungura kuonyesha ubabaishaji wetu, udhaifu na ulegeulege na kulalamika
View attachment 70346
weee!!unataka nchi iwe na hela za aina mbili!!!maana wale jamaa wa ijumaa hawatazishika hizo noti!!!Wameondoa TWIGA sababu wapo kwenye mchakato wa kum-replace na NGURUWE a.k.a Kitimoto
mkuu siyo zamani tu,hata leo kwenye hiyo senti hamsini yupo!!!au wewe huzitumii tena hizo thumni!!!:bowl:
Umenikumbusha mbali sana, zamani kwenye senti hamsini alikuwepo huyu Sungura, sijui kwanini walimweka.
Zamaulid, utaitumia wapi hii thumni? zamani nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa nikitumia ile thumni kununua biskuti. siku hizi hata shilingi 10 tu kuitumia ni vigumu sana.mkuu siyo zamani tu,hata leo kwenye hiyo senti hamsini yupo!!!au wewe huzitumii tena hizo thumni!!!