Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 39,283
- 79,655
Mkuu wewe ni genious kwa kuuelewa huu uzi mimi nilikua maboya tayari.Nadhani anamaanisha watoa huduma za mitandao wakitoa maelekezo, kwenye alama ya nyota wanakwambia tu 'bonyeza nyota' bila kusema neno kamili kwamba 'bonyeza alama ya nyota' ila kwenye alama ya Reli huwa wanatamka neno kamili kwamba 'bonyeza alama ya reli' na hawasemi tu 'bonyeza reli'. Mimi nimetafsiri ila sijui kama yana ukweli hayo