s.fm JF-Expert Member Joined Jul 8, 2009 Posts 663 Reaction score 117 Dec 9, 2009 #1 Jamani naomba kuuliza..wenzetu ambao hujifunza kuendesha gari,utakuta alama ya (L) imebandikwa kwenye gari ikiwa na maana ya lena! sasa tukija kwa wale wanaojifunza kuendesha ndege,meli au treni..nazo pia huwekewa alama ya L?
Jamani naomba kuuliza..wenzetu ambao hujifunza kuendesha gari,utakuta alama ya (L) imebandikwa kwenye gari ikiwa na maana ya lena! sasa tukija kwa wale wanaojifunza kuendesha ndege,meli au treni..nazo pia huwekewa alama ya L?
Chapakazi JF-Expert Member Joined Apr 19, 2009 Posts 2,874 Reaction score 317 Dec 9, 2009 #2 duh! Swali la kipima baridi nini? abiria wa ndege wakikuta alama ya L...watabaki ndani?
P pekupeku Member Joined Dec 6, 2009 Posts 10 Reaction score 0 Dec 9, 2009 #3 hiyo alama ikiweka kwnye ndege itaonekana vp?