Alama ya "h"

Alama ya "h"

Wisdom youlth

Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
73
Reaction score
17
Habari wakuu
nina nokia asha 303
kuna alama hapa juu karibu na bars za network haka kanabadilika mara "E" tatizo nikinunua kifurushi hakikai hata nisipo peruzi nakuta kimeisha kabla ya wakati wake nisaidieni jamani namna ya kukiondoa...
 
Hivyo vi-alama ndo vinakuwezesha wewe kuingia kwenye internet,sasa unaweza kuviondoa ila ujue internet basi tena!
 
Ila unaweza kuzima wakati unapokuwa hautumii internet na kuwasha unapohitaji
 
mkuu h means hspa/hdspa/hsupa kwa kawaida tunapenda kuiita network ya 3g ni network yenye speed ndo mana kifurushi kinaisha mapema. sio kwamba tu inamaliza kifurushi bali pia humaliza chaji mapema.

'e' inamaanisha edge hii ni network ya slow kwa kawaida tunaiita 2g ikikaa hii chaji haiishi sana na pia kifurushi hakiishi.

kama kumbukumbu zangu zipo sawa ukitaka kuchange nenda setting then phone then network kwenye network mode eka gsm/gprs/edge ili ikae network ya slow
 
Nimekusoma mkwawa nimejaribu kuitafuta phone setting kwa kila namna sijabahatisha kuiona ilipo,, pili hili tatizo hili limeanza juzi jumatatu kwani hata nikiwa offline alama ya H inakua bado inaonekana mara ya kwanza ilikua safi nikinunua kifurushi cha 20mb kilikua kinakaa mpaka siku ya kifurushi kinaisha nakua sijaimaliza kifurushi chote.
 
Nenda kwenye menu ya setting ingia tafuta connectivity select itakuletea poctet data select when need! Sijui nimeeleweka?
 
Back
Top Bottom