Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
Hapo ana maanisha nchi mbili (mikono 2) na shirikisho yaani kichwa chake.Huyu???
![]()
Hapo ana maanisha nchi mbili (mikono 2) na shirikisho yaani kichwa chake.Huyu???
![]()
tatizo nini mkuu,au ulitaka nikusifie wewe,kwani unayo nikusifie
Ngurumo arudi shule kwanza kisha apitie tuisheni kwa Shivji ili ajifunze maana ya nchi na dola kabla hajafunga ndoa ya hoja na Lissu. Hii itamsaidia kujua haki zake za kindoa.
Hii habari ni ndogo lakini imekaa vizuri.Mbili hizi za ccm zinatia shaka
![]()
Ni zile ambazo mama yako huwa nampatiaKweni wewe haki zako za ndoa yako na Mwigulu Nchemba ni zipi?
Unaelwa maana ya alama ya kupanua vidole?
Alama ya chadema inawapa wakati mgumu ccm wakati wa kuonesha vidole viwili wakimaanisha serikali mbili kwa kuhofia kuonesha alama ya chadema hivyo kuwabidi watumie mikono yote kwa kunyoosha kidole kimoja kimoja kila mkono kama ambavyo mama miropoko bila hoja anavyo onekana katika picha hapa