Alama uliyoiweka haijafutika

# pole kwa kukonda na kukaa bila kula, yaani abanduliw** yeye uwaze wewe#

akili mpya hii, far from stress
 
Nazani anastaihili hiki,[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115],

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Oooouuuh kastori kazuriii ila kafupiii, mapenzi!!! je umependa tena kama/au zaidi ya ulivyompenda, je unaamini katika kuanguka mapenzini zaidi ya mara moja?
 
Ulitukana bila shaka
 
Oooouuuh kastori kazuriii ila kafupiii, mapenzi!!! je umependa tena kama/au zaidi ya ulivyompenda, je unaamini katika kuanguka mapenzini zaidi ya mara moja?
Nilipenda tena ingawa ilichukua muda kumuamini na alijitahid Sana kuniaminisha (ambae ndio wife). Kuanguka mapenzini Zaid ya Mara moja "ndio kupo Sana tu" angawa na maumivu yake ndo yanakua maradufu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you,maana zipo dhana kuwa ukipenda mara moja ndio basi tena kwamba moyo huwa una nafasi moja mwingine/wengine ni kujilazimisha tu.
 
Dah umenikumbusha hostel 3 pale SUA. Kulikuwa na wazee wa shughuli dem wako akija akakukosa imekula kwako.....wakali wanamualika room wsnamkaribisha kiti wanamletea na soda....kisha wanakula mzigo siku hio hio.....

Hatareeerr
 
We were young,dumb and broke.... Love ilikuwa real, Nkapata kazi somewhere maisha yakawa mwake , To cut long story short....Tulidumu four years .....Ya dunia yakamdanganya sasa nipo alone kama Kelvin ,wa home alone ,
Nilikonda ,nikaamua kurudi nyumbani now Niko na furaha ...japo namkumbuka.... Ila kuwa na mahusiano tena no...labda nipate wa kumwoa years to come....(9/10)
 
Pole.mkuu ulipitia kipindi kigumu But kwavile ulishapita huko ni Jambo la kumshukuru Mungu

One love
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…