Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 9,326 Reaction score 10,601 Jul 14, 2021 #21 Twilumba said: Kuna tofauti ya kiziwi na kutosikia? Click to expand... Kusikia kama tatizo huwa ni kiziwi, kusikia kama tabia huwa husikii kwa maana una ambiwa lakini huelewi sio kwamba husikii... Nahisi ni hivyo kiongozi Mtoto halali na hela
Twilumba said: Kuna tofauti ya kiziwi na kutosikia? Click to expand... Kusikia kama tatizo huwa ni kiziwi, kusikia kama tabia huwa husikii kwa maana una ambiwa lakini huelewi sio kwamba husikii... Nahisi ni hivyo kiongozi Mtoto halali na hela
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,982 Reaction score 117,361 Jul 14, 2021 #22 Unakumbushwa kusafisha masikio.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,942 Reaction score 53,997 Jul 14, 2021 #23 Chillah said: Kusikia kama tatizo huwa ni kiziwi, kusikia kama tabia huwa husikii kwa maana una ambiwa lakini huelewi sio kwamba husikii... Nahisi ni hivyo kiongozi Mtoto halali na hela Click to expand... Nimekuelewa mkuu
Chillah said: Kusikia kama tatizo huwa ni kiziwi, kusikia kama tabia huwa husikii kwa maana una ambiwa lakini huelewi sio kwamba husikii... Nahisi ni hivyo kiongozi Mtoto halali na hela Click to expand... Nimekuelewa mkuu
R RR JF-Expert Member Joined Mar 17, 2007 Posts 6,976 Reaction score 2,044 Jul 14, 2021 #24 ton11 said: Wakuu siku za karibuni nimekuwa nikikutana na alama hii (angalia picha) mwenye kujua alama hii inamaanisha nini anijuze tafadhari.View attachment 1851869View attachment 1851870 Click to expand... Kivuko cha waenda kwa miguu viziwi.
ton11 said: Wakuu siku za karibuni nimekuwa nikikutana na alama hii (angalia picha) mwenye kujua alama hii inamaanisha nini anijuze tafadhari.View attachment 1851869View attachment 1851870 Click to expand... Kivuko cha waenda kwa miguu viziwi.