miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
mi mwenyewe 'nikijitiaga' wazimu huwa niko fresh kuliko nikiwa serious!!
hii ni kweli. nina ushuhuda kwa hili
Nilikuwa na marafiki zangu walikuwa serious sana na maisha. Nilijaribu kucope nao ili na mimi nijione nimekuwa mkubwa, mabo yaka si mambo. kila kitu kilikuwa kigumu kwangu.
Nikaamua nirudi kwa vichaa wenzangu, nikajikuta happy sana hadi maisha yakawa simple sana.
Mm hiyo allah haijanisumbua ila kiingilishi ndio imedunda hebu fanya kwa lugha ya taifa
Iyo "Allah" plse! Ngoja waje.
Omba msaada kwa Invisible akurekebishie heading kabla hujaparuliwa usoni.
Iyo "Allah" plse! Ngoja waje.
Habari yako mkuu. KakaJambaz ni ndugu yako?
Mpaka sasa i hope uko happy kabisa?
stress hakuna, maisha yenyewe mafupi hivi. Hakuna stress
Kaandika alaaa sio Allah kama vipi waje tu.