Alaa! Kumbe: Sasa nimeamini.

umenifurahisha kaka.kama zoezi lilifanikiwa kwa 95% walitakiwa kuongeza muda kwa 5% ili kukamilisha 100% sasa kuongeza 100% ya muda maana yake wanataka livuke lengo kwa 95% hiyo ina maana kuwa tutamaliza watanzania wote na ikibidi na kenya tuende.hii ndiyo tanzania inaunda tume inaongozwa na jaji lakini baada ya majibu upelelezi unaanza na kama kuna hatia kesi inapelekwa kwa hakimu.chezea tz weye?
Hizo hesabu walifanyiwa na kipanga wao mwigulu mnchemba. Mwigulu oyeeee
 
Back
Top Bottom