Vp mkuu? yule kondoo aliyeandikwa Yassin bado yupo?Hiyo Bakwacha makao yake makuu ni wapi? Acheni habari za kizandiki jamani halafu watu wengine mnashangilia tu.
Yes! nakupa mia, jamaa wana njaa kupita maelezo.hapo umenena, koz navyotambua serikali yoyote katika nchi za kidemokrasia haifungamani na upande wowote wa imani, so kwa hili hao jamaa waliotoa tamko ni magumashi tu, njaa zao ndo ziliwapelekea kufanya hivyo
Hiyo Bakwacha makao yake makuu ni wapi? Acheni habari za kizandiki jamani halafu watu wengine mnashangilia tu.
utumbo mwengine bana! unatia kinyaa.
Hiyo Bakwacha makao yake makuu ni wapi? Acheni habari za kizandiki jamani halafu watu wengine mnashangilia tu.