Alaa kumbe kuna BAKWATA na BAKWACHA!

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Kumbe kuna tofauti ya bakwata na bakwacha nazo ni 1. Bakwata ni baraza kuu la waislamu tanzania wakati bakwacha ni baraza kuu la waislamu wa chama cha mapinduzi. 2. Bakwata wanashughulika na dini na hawanunuliki na mambo ya kidunia wakati bakwacha wanajishughulisha na siasa na walisafiri mpaka igunga na kutoa kauli nzito kupinga wasiotaka na kuunga mkono mgombea wa ccm. 3. Bakwata wanasema hijabu ni vazi linalofunika mzima wa mwanamke kasoro viganja vya mkono na uso wakati bakwacha wanasema mtandio wa kitambaa chepesi kinachofanana na net ya mbu kikifunika kichwa nacho hijabu na yeyote atakayefunua kitambaa cha mwanamke huyo basi na adui wa uislamu na hastahili kupigiwa kura kwa mujibu wa bakwacha mtu alivaa mtandio ambao kwao ni hijabu hata kama kifua kiko wazi na kuacha wazi miguu yake ili wapita njia waamue kama anao usafiri au hana hastahi kukorofishwa na yeyote. Hizi tofauti ambazo nilikuwa sizijui. Source soma mwanahalisi.
 
hapo umenena, koz navyotambua serikali yoyote katika nchi za kidemokrasia haifungamani na upande wowote wa imani, so kwa hili hao jamaa waliotoa tamko ni magumashi tu, njaa zao ndo ziliwapelekea kufanya hivyo
 
Hiyo Bakwacha makao yake makuu ni wapi? Acheni habari za kizandiki jamani halafu watu wengine mnashangilia tu.
 
hapo umenena, koz navyotambua serikali yoyote katika nchi za kidemokrasia haifungamani na upande wowote wa imani, so kwa hili hao jamaa waliotoa tamko ni magumashi tu, njaa zao ndo ziliwapelekea kufanya hivyo
Yes! nakupa mia, jamaa wana njaa kupita maelezo.
 
Du hizi taasisi zingine bwana BAKWACHA TENA?kwa hiyo na wale BATAMILK ni wa wapi?
 
Du hizi taasisi zingine bwana BAKWACHA TENA?kwa hiyo na wale BATAMILK ni wa wapi?

zipo nyingi tu mkuu pia kuna tume ya uchaguzi ya taifa na tume ya taifa ya uchaguzi ya ccm kuna polisi na polisi ccm
 
utumbo mwengine bana! unatia kinyaa.

ulikua hujui kua kuna utumbo unao tia kinyaa na ambao hautii kinyaa?duh inaonekana hujui mengi ndo tatizo la kutumia masaburi.sasa ni hivi utumbo wako ndo unatia kinyaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom