Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss