Picha namba moja unaona kuna nguo ya kiume hapo? au unajitoa ufahamu kuwa huzijui rangi za kiume?Umeona kuna dera hapo au unajitoa ufahamu
Mungu akusamehe, hayo ni madera mkuu?Madera bei gani?
Hizo ni kanzu mkuu sio maderaBora useme ww mkuu