MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 20,142
- 35,584
Ni nani White Widow? Ni yule mke wake Germain? Archbishop of Canterbury alizungumza maneno kumtetea.
Karibu tena mkuu....long time....
Ni nani White Widow? Ni yule mke wake Germain? Archbishop of Canterbury alizungumza maneno kumtetea.
kwa hili hatuhitaji ushauri. Alshabab nao ni binadamu na sisi watanzania hatuna ugomvi nao. Waishi tu bongo
Are you serious?kwa hili hatuhitaji ushauri. Alshabab nao ni binadamu na sisi watanzania hatuna ugomvi nao. Waishi tu bongo
Mijihadi kama wewe ndio mnawahifadhi hao watu, itakufikia tu.
Mnalo huko, mtawajuwa Wasomali ni akina nani na maana ya Warrior ni nini.
Everybody is born a warrior, usidhani hutu tumijihadi twenu ndio walizaliwa tu wenye uwezo wa kupigana, wengine wetu tunajaribu kuwa civilized na kuacha taasisi zilizopo kwenye katiba kuwashughulikia. Lakini kama vipi muamue kieleweke, quran inawafundisha kuwaua watu wasio waislamu, basi muanzishe kitu cha wazi na bila kutoroka ama kufichana fichana.
Mijihadi kama wewe ndio mnawahifadhi hao watu, itakufikia tu.
Huyu mbaba aliyeko madarakani atatuletea balaa, haka kamuda kake bora kamalizikie
Naona huwajuwi Wasomali, hata walipowakong'ota west gate mall, hero akawa huyo huyo Msomali! umesahau? ilikuwa ujifunze kitu kwa lile tukio. Majeshi yenu yaliishia kuwa looters, Msomali aka Warrior mmoja akawa hero wa west gate. Imagine.
Una uhakika kuwa faiza ni jihadi?
The White Widow, a British soldiers daughter from Aylesbury, Bucks, is the subject of an -international manhunt by nearly 200 countries after being named in a Red Alert by Interpol after the -shopping mall atrocity.
New information has emerged linking Lewthwaite to al-Shabaab safe houses in Tanzania and Somalia where she has become a hero amongst fanatics in both countries, according to security sources.
Spy chiefs said the international -security community is locked in talks to arrange a huge reward for information leading to her arrest.
Lewthwaite is a prime target for American special forces engaged in a number of highly classified operations to capture a dozen of the worlds most wanted terrorists.
Check out all the latest News, Sport & Celeb gossip at Mirror.co.uk Pictures of White Widow Samantha Lewthwaite's warped secret world show double life of doting mum and merciless terrorist - Mirror Online
Ni pm nina maongezi na wewe
Tz na alshab wapi na wapi tuwaachie kenya na alshabab wao
Mnalo huko, mtawajuwa Wasomali ni akina nani na maana ya Warrior ni nini.
wamkaribisha ilihali wapenda mdhihaki!!Andrew, sijakuona JF siku nyingi sana, nimefurahi leo kukuona ukijumuika nasi tena. Karibu.