Al Shabab Safe House in Tanzania?

Al Shabab Safe House in Tanzania?

Status
Not open for further replies.

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
The White Widow, a British soldier’s daughter from Aylesbury, Bucks, is the subject of an -international manhunt by nearly 200 countries after being named in a Red Alert by Interpol after the -shopping mall atrocity.

New information has emerged linking Lewthwaite to al-Shabaab safe houses in Tanzania and Somalia – where she has “become a hero” amongst fanatics in both countries, according to security sources.

Spy chiefs said the “international -security community” is locked in talks to arrange a huge reward for information leading to her arrest.

Lewthwaite is a prime target for American special forces engaged in a number of “highly classified” operations to capture a dozen of the world’s most wanted terrorists.
 
Safe house in Tz? How?

nyumba wanayokaa kwa usalama wakija apa pasipo kugundulika!!! nahic maeneo ya magomen pale hasa mikumi kuna jamii nyingi za wasomali lazima itakuwepo mojawapo!
 
Mi najua makazi ya alashabab ni ndani ya mahotel yote ya watu wenye asili ya somalia: Tansoma, city garden, paradise resort et cetera
 
Mi najua makazi ya alashabab ni ndani ya mahotel yote ya watu wenye asili ya somalia: Tansoma, city garden, paradise resort et cetera
I see, so it true those fiendish people are in TZ.
 
Kuna huyu jamaa anajifanyaga eti ni meneja wa juma kaseja,huyu jamaa anahotel pale kariakoo jina la hotel yake linaishia cout yard,pamoja na tabia zake za kupends kufirwa(ushahidi ninao)ila uko ndani hotelini anakaa na wasomali huwa siwaelewi,elewi..nawashauri wanausalama wakapeleleze pale,ila kwanza wambane dada wa reception azime kamera,wale jamaa wanashida wanaangalia anaeingia na kutoka kama hawakuelewi wanaenda kufichwa...!!
 
our security organs need to investigate kama nchi kama uk wanajua kua al shabab wana safe house hapa bongo kwa nn tupuuze?
 
Amma kwa hakika wao hao wanayakinisha haya:

Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui.

3:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi.

3:170. Wanafurahia aliyo wapa Mwenyezi Mungu kwa fadhila yake, na wanawashangilia wale ambao bado hawajajiunga nao, walio nyuma yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

3:171. Wanashangilia neema na fadhila za Mwenyezi Mungu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu hapotezi ujira wa Waumini,

unatabana nini jibu hoja mistari ya Quran haikufanyi uwe mwema machoni pa watu
 
Ni nani White Widow? Ni yule mke wake Germain? Archbishop of Canterbury alizungumza maneno kumtetea.
 
kwa hili hatuhitaji ushauri. Alshabab nao ni binadamu na sisi watanzania hatuna ugomvi nao. Waishi tu bongo
 
iwe al shababu au CIIA,yote makundi yenye malengo yao,kwasasa hatuko vitani na alshabab wala CIA
 
Wakenya wanajitahidi kwa kufanya kila ufataani waiingize Tanzania kwenye hili janga walilojiingiza.

Mnalo hilo.

Mijihadi kama wewe ndio mnawahifadhi hao watu, itakufikia tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom