Al-Shabaab wavamia hoteli na kuua wabunge 6...!

_48854230_010029894-1.jpg



_48854329_010028995-1.jpg
 
Its so sad to see this I wonder whats their motivation behind all this when i try to :confused2: I never get an answer, Why do you have to do this to innocent civilians what wrong have they done to you. Na wakati nasikiliza taarifa ya habari wakawa wanasema wanazidisha mashambulizi kipindi hiki cha mwezi wa ramadhani kwa kuwa watapata thawabu zaidi kwa kweli nilichoka
 
Kama ni Dini basi hii mungu wao sio Yehova mwenye huruma na rehema

Mimi siwalaumu sasa hivi katika dini hii kuua imekuwa sehemu ya ibada. Kila anayejifanya anaijua dini anakimbilia kuua. hii dini nasikiaga ina nguzo, wafanye ammendmend uuaji iwe mojawapo ya nguzo za dini.
 
Very sad, somalis lost their way. They hate everybody and bad enough hate themselves also. Til the moment they dont know who is their enemy and what are really need.
 
hiyo aya kaka.. ni katika vita ya jihad, nenda kafanye home work what is true jihad ..?? je aya hiii umeiona???{Fight in the way of Allah against those who fight against you, but begin not hostilities.Lo! Allah loves not, aggressors.}* (Al-Baqarah 2:190)

For more info about ethics war in islam soma hapa WikiAnswers - What are the ethics of war in Islam

AL-SHAB, AL QAIDA .. NI VIKUNDI VYA WAPUMBAVU VINAVYOTUMIA DINI ... KWENYE SIASA/ KUJIPATIA MADARAKA
 
hiyo aya kaka.. ni katika vita ya jihad, nenda kafanye home work what is true jihad ..?? je aya hiii umeiona???{Fight in the way of Allah against those who fight against you, but begin not hostilities.Lo! Allah loves not, aggressors.}* (Al-Baqarah 2:190)

For more info about ethics war in islam soma hapa WikiAnswers - What are the ethics of war in Islam

AL-SHAB, AL QAIDA .. NI VIKUNDI VYA WAPUMBAVU VINAVYOTUMIA DINI ... KWENYE SIASA/ KUJIPATIA MADARAKA

Umewahi kuona balozi zinachomwa moto ikiwa ni maandamano ya waislamu ya kupinga mauaji haya ya kigaidi? Kama hawapingi maana yake wanakubaliana nayo! Kinyume chake utaona maandamano na kuchomwa balozi kwa kuchorwa kwa picha ya mtu aliyefariki karne kadhaa zilizopita! Na inawezekana kwamba Osama bin Laden amefichwa kwenye Ikulu ya nchi mojawapo ya kiarabu ndio maana hakamatwi! Know for sure that: "Not all Muslims are terrorists but all terrorists are Muslims!"
 
I can't believe you accuse muslims of being the agressors. May I remind you of Crusades, WW1, WW2, Slavery in the 20th century, colonialism of Arab lands from Morocco to Palestine"muslims". Who did all that???Or better more turn on TV & see whose tryning to dominate who TODAY? ARE YOU NUTS???
pixel-vfl73.gif


VIPI kuhusu (Euskadi Ta Askatasuna) ETA..? Wanavyosumbuwa spain,
pixel-vfl73.gif
... Usiseme all terorist are muslims..? terrorisim its all about power & not iman ya dini, elewa hilo ilininiuma unapochukuwa aya flani toka kwenye kitabu changu kitakatifu na unaanza kuipaka choo dini yangu.. sababu watu flani wanatumia hiyo aya 2 brain wash watu wanye iman ndogo wasio na mbele wala nyuma wakaenda wakajilipuwa wakifikiri kwamba wataenda peponi..??(Muislam anaiena kujilipuwa katika msikiti wakijuwa wazi nadini ya ule msikiti kuna qura-an za atazichoma moto akijilipuwa na ataenda peponi, huyu mtu unafkiri mzima?? basi kama wewe ni mmoja wao watu waliomani hiyo AYA inamaanisha hivo basi weye pia ni mmoja watu mlikuwa brain washed na kina alshabab & alqaeda.

Kaka hii vita its all about world Domination.. "DIVED & RULE" inacheza part yake! mimi iam a muslim but kama unataka kujuwa truth go & study what shia believe about all this crap. "JESHI KUBWA KAMA LA MAREKANI UNAFKIRI LINASHINDWA VIPI KUMTAFUTA AN OLD MAN ON A DONKEY WITH IN A DESERT" Osama doesn't Exist! .. If he does so.. Pesa za kuendesha kikundi anazipata wapi kama hapewi na hao watu wanaosema wanamtafuta? kwa dunia ya utandawazi ni rahisi sana kujuwa mtu flani ana kiasi flani na zinaenda sehemu flani..! Usiseme anazipata Iran sababu serikali ya Iran ni ya Mashia & Shia muslims wanavyomchukia Bin laden ni kushinda hao watu pretend wanamtafuta jangwani miaka yote. ni moja ya reason ya ugomvi kati yao na iran.

wake up bro & be open minded ondoa chuki dini katika moyo wako kwamba we mkristo na wale waislam!. Ukishafanya hivo then ask ur self all these philosophical questions about the whole issue about terrorists & religion.

namalizia namaneno ya "ALEX JONES" Anasema hivi "BECAUSE THERE IS WAR IN YOUR MIND" Alex Jones' Infowars: There's a war on for your mind!
9-11 Was An Inside Job - A Call To True Patriots.
 
Kama walifanyiza Uganda wakati wa W. Cup, may be Tanzania is next. Who knows? Umasikini ni kitu kibaya sana!! You are right, may be Africa ilitakiwa iwape kibano lakini ndio hivyo tena
 
Back
Top Bottom