Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Aisee! Hatari namna hii.
Nalog off
Nalog off
Ukristo haujaleta ushoga. Kila siku tunaona pressure kubwa duniani ikimlaumu PaPa, ili wakatoliki waruhusu ushoga.
Bottom line ni kwamba; Hakuna andiko kwenye bibilia ku-justify ushoga.
Lakini Koran na hadithi, yapo maandiko kadhaa yenye viashiria wa ushoga, ulawiti na ubakaji. Mfano kusema mwanamke ni shamba Lima utakavyo. Mateka wa vita walikuwa wanabakwa na wafuasi wa Muhamadi, na Muhamadi mwenyewe alibariki hayo.Mohammad kuoa mtoto aisha. Muhammad kuwanyonya romasni watotowa kiume wa Ally. Nk.
Ushoga hauna dini wala kabila, wala race. Tuache racism. historia inatuonyesha;Ushoga ulikuwepo tangu kipindi cha Adam. Hivyo Sio jambo lililoletwa maJuzi na dini yoyote. Kuungua kwa sodoma na gomora ni matokeo ya huo ushoga enzi za antiquity.
cha kuzingatia:
Magaidi wa kiislamu Hawaui watu kwasababu yA ushoga kuenea. Alshababu hawakwenda kuangamiza mashoga pale Garassa. walienda kuua wakristo. ISIS hawakuua vitoto via changa kwasababu wanakataza ushoga bali kwakuwa ni watoto wa wakristo. Magaidi Wanaua watu kwasababu wanaeneza uislamu ka Jihadi. Dini wanayoamini imeletwa na M/Mungu ili kuzishinda dini zote.
MtatengeneZa "frame work of thought" nyingi sana za kulainisha mambo, lakini hakuna hata moja itakayo epuka kutaja nafasi ya uislamu katika ugaidi.
[h=1]Im sick of being labeled an Islamophobe for stating the truth[/h]Written by Allen West on June 17, 2014
.
Hakuna sehemu niliyosema kwenye biblia kuna ruhusu ushoga na wala hakuna ushahidi huo wa hayo uliyoyaeleza ktk uislamu. Ninachokieleza hapa ni kwamba hizi dini zote zinachafuliwa,ndiyo nikasema kwamba hivi sasa ukristo unachafuliwa kwa mambo ya ushoga,usagaji,ulawiti .
na kila aina ya uchafu yani tamaduni chafu za kimaghalibi zimeteka ukristo
Umefanywa uonekane na nani zaidi ya haohao waislamu wenye Dini yao?. AU unataka tuwachagulie jina zuri badala ya Gaidi?. Mtu akiua unataka asiitwe Muuaji Au akiiba asiitwe mwizi?Na uislamu umefanywa uonekane ni ugaidi kwa watu kufanya ugaidi na kusema ni Jihad,
.indeed. Ulidhani wanafanya Mauaji bila kuongozwa na Aya.kisa kuna aya ndani ya Qur'an zenye kueleza Jihad,.
Hizo haya za kwenye koran zipo wazi sana. Huo ndio ukweli, Black and White. MAtumizi gani mazuri unaweza kuyaweka kupitia hizo Aya ili zivutie na zisitimize ajenda iliyokusudiwa?ndiyo maana nikasema ni matumizi mabaya ya hizo aya ili tu kutimiza ajenda zao ila wanayoyafanya ni kinyume na Jihad hasa iliyoelezwa kwenye Qur'an..
NDio inathibitisha kuwa Huo ndio uislamu halisi.Pia unaposema ushoga ulikuwepo tokea kipindi hicho ni kweli nakubali,lakini pia Jihad haikuanza leo pia..
Jihadi ya kina Moses sio mafundisho ya Bwana Yesu Kristo. YEsu Hakuleta Jihadi. Hatumfuati MOSes Tunamfuata YEsu kristo.Kwenye biblia yapo maandiko yenye kuonesha Jihad na kuna amri za Mungu kumwambia Musa aue hadi watoto kitu ambacho kwenye Qur'an imekatazwa, na ukiangalia hizi Jihad zinazofanywa kupitia mgongo wa uislamu huwaua hadi watoto..
MUNGU HAAMURU MAMBO maBAYA. hYO ATAKUWA SHETANI TU. na bado hatujakatazwa NA muNGU Kukemea UOVU. Mambo maovu Hayatoki kwa Mungu bali yatoka kwa yule Ibilis Shetani ambaye ni baba wa uongo na muuaji.Kitu ambacho wakristo mnakisahau ni kwamba mmesahau kwamba jambo zuri na baya huamuriwa na Mungu
Dini zote zinachafuliwa ni hoja nyepesi sana. KWani hayo yote uliyoyataja kwenye Ukristo yanachafua pia Uislamu. Zaidi ya yote dini sio ukristo na uislamu tu hapa ulimwenguni. kuna African religions, buddism, Judaism, hinduism,Confucious n.k. Hivyo Hata dini za kiafrika zimechafuliwa kwakuitwa za washenzi ama za wapagani lakini bado maisha yanasonga. Hii bado haina uhusiano na ugaidi unaofanywa na katika uislamu.
sidhani kama TUnaHITAJI uISLAMU utusaidie kuusafisha ukristo dhidi ya utamaduni wa kimagharibi.Si Kaziyao. hata hivyo Ni mara mia moja tuishi kwenye utamaduni wa magharibi kuliko utamaduni wa kiiarabu.Umagharibi unampa heshima mwanadamu kwa kutambua Human rights, kama democracy, Freedom of worship and tolerance. Zaidi ya yote; wakati Jihadi inaanza uko arabuni, huo utamaduni wa kimagharibi haukuwepo. Lakini Uislamu uliendelea kuua watu mpaka leo umeendelea kuua.
Umefanywa uonekane na nani zaidi ya haohao waislamu wenye Dini yao?. AU unataka tuwachagulie jina zuri badala ya Gaidi?. Mtu akiua unataka asiitwe Muuaji Au akiiba asiitwe mwizi?
.indeed. Ulidhani wanafanya Mauaji bila kuongozwa na Aya.
Hizo haya za kwenye koran zipo wazi sana. Huo ndio ukweli, Black and White. MAtumizi gani mazuri unaweza kuyaweka kupitia hizo Aya ili zivutie na zisitimize ajenda iliyokusudiwa?
NDio inathibitisha kuwa Huo ndio uislamu halisi.
Jihadi ya kina Moses sio mafundisho ya Bwana Yesu Kristo. YEsu Hakuleta Jihadi. Hatumfuati MOSes Tunamfuata YEsu kristo.
MUNGU HAAMURU MAMBO maBAYA. hYO ATAKUWA SHETANI TU. na bado hatujakatazwa NA muNGU Kukemea UOVU. Mambo maovu Hayatoki kwa Mungu bali yatoka kwa yule Ibilis Shetani ambaye ni baba wa uongo na muuaji.
Tatizo unataka nikubaliane na wewe kuwa wakristo wasasa wangepaswa waanzishe Crussade kama wakati wa Moses Ili tu useme ninaielewa BIBILIA. Na ninapokataa maandiko hayo unanituhumu siijui Bibilia.Tatizo unafikiri mie niko hapa kiushabiki wa dini na ndiyo maana unashindwa hata kuelewa ninachokizungumza na inaonesha hata dini yako huijui vizuri kutokana na aina ya majibu uliyojibu.
Dini zote zinachafuliwa ni hoja nyepesi sana. KWani hayo yote uliyoyataja kwenye Ukristo yanachafua pia Uislamu. Zaidi ya yote dini sio ukristo na uislamu tu hapa ulimwenguni. kuna African religions, buddism, Judaism, hinduism,Confucious n.k. Hivyo Hata dini za kiafrika zimechafuliwa kwakuitwa za washenzi ama za wapagani lakini bado maisha yanasonga. Hii bado haina uhusiano na ugaidi unaofanywa na katika uislamu.
sidhani kama TUnaHITAJI uISLAMU utusaidie kuusafisha ukristo dhidi ya utamaduni wa kimagharibi.Si Kaziyao. hata hivyo Ni mara mia moja tuishi kwenye utamaduni wa magharibi kuliko utamaduni wa kiiarabu.Umagharibi unampa heshima mwanadamu kwa kutambua Human rights, kama democracy, Freedom of worship and tolerance. Zaidi ya yote; wakati Jihadi inaanza uko arabuni, huo utamaduni wa kimagharibi haukuwepo. Lakini Uislamu uliendelea kuua watu mpaka leo umeendelea kuua.
Umefanywa uonekane na nani zaidi ya haohao waislamu wenye Dini yao?. AU unataka tuwachagulie jina zuri badala ya Gaidi?. Mtu akiua unataka asiitwe Muuaji Au akiiba asiitwe mwizi?
.indeed. Ulidhani wanafanya Mauaji bila kuongozwa na Aya.
Hizo haya za kwenye koran zipo wazi sana. Huo ndio ukweli, Black and White. MAtumizi gani mazuri unaweza kuyaweka kupitia hizo Aya ili zivutie na zisitimize ajenda iliyokusudiwa?
NDio inathibitisha kuwa Huo ndio uislamu halisi.
Jihadi ya kina Moses sio mafundisho ya Bwana Yesu Kristo. YEsu Hakuleta Jihadi. Hatumfuati MOSes Tunamfuata YEsu kristo.
MUNGU HAAMURU MAMBO maBAYA. hYO ATAKUWA SHETANI TU. na bado hatujakatazwa NA muNGU Kukemea UOVU. Mambo maovu Hayatoki kwa Mungu bali yatoka kwa yule Ibilis Shetani ambaye ni baba wa uongo na muuaji.
Tatizo unataka nikubaliane na wewe kuwa wakristo wasasa wangepaswa waanzishe Crussade kama wakati wa Moses Ili tu useme ninaielewa BIBILIA. Na ninapokataa maandiko hayo unanituhumu siijui Bibilia.
Tatizo lingine ni uchanganuzi wako kuwa immoral na narrow kwa minajili ya political correctedness. Especially pale unapojaribu kuLAzimisha Ugaidi wa Kiislamu ulingane na Mabadiliko yanayotokea kwenye Ukristo wa leo huko western world. Huku uki-ignore ukweli kuwa Ugaidi huu wa waislamu wanaufanya globally kwasababu tu wameongezeka na kutawanyika na ni dhidi ya dini zote duniani ikiwemo Buddha, Hinduism,The so called Moderate Muslims, Confucious, Judaism, Judeo christians, etc; lengo Kuu likiwa ni Dini ya Uislamu kuzishinda dini zote duniani na kutawala Dunia:i.e. Dar al Islam and Dar al Harb. In fact, there are no moderates in Islam only those who are waiting for their mahdi to come and lead them on a global jihad. Wake up. No secs in Islam. ask anyone....
unaisahau biblia
Tatizo msahafu.
Bible haina mushkeli kabisa.
Kijana wa uamsho kama wewe Umekuwa brainwashed kiasi kwamba hutambui thamani ya wewe kuwepo hapa duniani. Ukishauriwa ukajilipue unakwenda tu. Kisa umedanganywa kuwa duniani ni sehemu ya kutestiwa. Hutakiwi kufurahia ukiwa huku... Utafurahi peponi tu ukipewa 12boys like pearls.
jibu hapa usikimbie
huyu ni mungu gani na kitabu gani hichi
kill people who don't listen to priests
anyone arrogant enough to reject the verdict of the judge or of the priest who represents the lord your god must be put to death. Such evil must be purged from israel. (deuteronomy 17:12 nlt)
kill witches
you should not let a sorceress live. (exodus 22:17 nab)
kill homosexuals
"if a man lies with a male as with a women, both of them shall be put to death for their abominable deed; they have forfeited their lives." (leviticus 20:13 nab)
kill fortunetellers
a man or a woman who acts as a medium or fortuneteller shall be put to death by stoning; they have no one but themselves to blame for their death. (leviticus 20:27 nab)
death for hitting dad
whoever strikes his father or mother shall be put to death. (exodus 21:15 nab)
death for cursing parents
1) if one curses his father or mother, his lamp will go out at the coming of darkness. (proverbs 20:20 nab)
2) all who curse their father or mother must be put to death. They are guilty of a capital offense. (leviticus 20:9 nlt)
death for adultery
if a man commits adultery with another man's wife, both the man and the woman must be put to death. (leviticus 20:10 nlt)
death for fornication
a priest's daughter who loses her honor by committing fornication and thereby dishonors her father also, shall be burned to death. (leviticus 21:9 nab)
death to followers of other religions
whoever sacrifices to any god, except the lord alone, shall be doomed. (exodus 22:19 nab)
kill nonbelievers
they entered into a covenant to seek the lord, the god of their fathers, with all their heart and soul; and everyone who would not seek the lord, the god of israel, was to be put to death, whether small or great, whether man or woman. (2 chronicles 15:12-13 nab)
kill false prophets
if a man still prophesies, his parents, father and mother, shall say to him, "you shall not live, because you have spoken a lie in the name of the lord." when he prophesies, his parents, father and mother, shall thrust him through. (zechariah 13:3 nab)
kill the entire town if one person worships another god
suppose you hear in one of the towns the lord your god is giving you that some worthless rabble among you have led their fellow citizens astray by encouraging them to worship foreign gods. In such cases, you must examine the facts carefully. If you find it is true and can prove that such a detestable act has occurred among you, you must attack that town and completely destroy all its inhabitants, as well as all the livestock. Then you must pile all the plunder in the middle of the street and burn it. Put the entire town to the torch as a burnt offering to the lord your god. That town must remain a ruin forever; it may never be rebuilt. Keep none of the plunder that has been set apart for destruction. Then the lord will turn from his fierce anger and be merciful to you. He will have compassion on you and make you a great nation, just as he solemnly promised your ancestors. "the lord your god will be merciful only if you obey him and keep all the commands i am giving you today, doing what is pleasing to him." (deuteronomy 13:13-19 nlt)
kill women who are not virgins on their wedding night
but if this charge is true (that she wasn't a virgin on her wedding night), and evidence of the girls virginity is not found, they shall bring the girl to the entrance of her fathers house and there her townsman shall stone her to death, because she committed a crime against israel by her unchasteness in her father's house. Thus shall you purge the evil from your midst. (deuteronomy 22:20-21 nab)
kill followers of other religions.
1)if your own full brother, or your son or daughter, or your beloved wife, or you intimate friend, entices you secretly to serve other gods, whom you and your fathers have not known, gods of any other nations, near at hand or far away, from one end of the earth to the other: Do not yield to him or listen to him, nor look with pity upon him, to spare or shield him, but kill him. Your hand shall be the first raised to slay him; the rest of the people shall join in with you. You shall stone him to death, because he sought to lead you astray from the lord, your god, who brought you out of the land of egypt, that place of slavery. And all israel, hearing of this, shall fear and never do such evil as this in your midst. (deuteronomy 13:7-12 nab)
2) suppose a man or woman among you, in one of your towns that the lord your god is giving you, has done evil in the sight of the lord your god and has violated the covenant by serving other gods or by worshiping the sun, the moon, or any of the forces of heaven, which i have strictly forbidden. When you hear about it, investigate the matter thoroughly. If it is true that this detestable thing has been done in israel, then that man or woman must be taken to the gates of the town and stoned to death. (deuteronomy 17:2-5 nlt)
death for blasphemy
one day a man who had an israelite mother and an egyptian father got into a fight with one of the israelite men. During the fight, this son of an israelite woman blasphemed the lord's name. So the man was brought to moses for judgment. His mother's name was shelomith. She was the daughter of dibri of the tribe of dan. They put the man in custody until the lord's will in the matter should become clear. Then the lord said to moses, "take the blasphemer outside the camp, and tell all those who heard him to lay their hands on his head. Then let the entire community stone him to death. Say to the people of israel: Those who blaspheme god will suffer the consequences of their guilt and be punished. Anyone who blasphemes the lord's name must be stoned to death by the whole community of israel. Any israelite or foreigner among you who blasphemes the lord's name will surely die. (leviticus 24:10-16 nlt)
kill false prophets
1) suppose there are prophets among you, or those who have dreams about the future, and they promise you signs or miracles, and the predicted signs or miracles take place. If the prophets then say, 'come, let us worship the gods of foreign nations,' do not listen to them. The lord your god is testing you to see if you love him with all your heart and soul. Serve only the lord your god and fear him alone. Obey his commands, listen to his voice, and cling to him. The false prophets or dreamers who try to lead you astray must be put to death, for they encourage rebellion against the lord your god, who brought you out of slavery in the land of egypt. Since they try to keep you from following the lord your god, you must execute them to remove the evil from among you. (deuteronomy 13:1-5 nlt)
2) but any prophet who claims to give a message from another god or who falsely claims to speak for me must die.' you may wonder, 'how will we know whether the prophecy is from the lord or not?' if the prophet predicts something in the lord's name and it does not happen, the lord did not give the message. That prophet has spoken on his own and need not be feared. (deuteronomy 18:20-22 nlt)
infidels and gays should die
so god let them go ahead and do whatever shameful things their hearts desired. As a result, they did vile and degrading things with each other's bodies. Instead of believing what they knew was the truth about god, they deliberately chose to believe lies. So they worshiped the things god made but not the creator himself, who is to be praised forever. Amen. That is why god abandoned them to their shameful desires. Even the women turned against the natural way to have sex and instead indulged in sex with each other. And the men, instead of having normal sexual relationships with women, burned with lust for each other. Men did shameful things with other men and, as a result, suffered within themselves the penalty they so richly deserved. When they refused to acknowledge god, he abandoned them to their evil minds and let them do things that should never be done. Their lives became full of every kind of wickedness, sin, greed, hate, envy, murder, fighting, deception, malicious behavior, and gossip. They are backstabbers, haters of god, insolent, proud, and boastful. They are forever inventing new ways of sinning and are disobedient to their parents. They refuse to understand, break their promises, and are heartless and unforgiving. They are fully aware of god's death penalty for those who do these things, yet they go right ahead and do them anyway. And, worse yet, they encourage others to do them, too. (romans 1:24-32 nlt)
kill anyone who approaches the tabernacle
for the lord had said to moses, 'exempt the tribe of levi from the census; do not include them when you count the rest of the israelites. You must put the levites in charge of the tabernacle of the covenant, along with its furnishings and equipment. They must carry the tabernacle and its equipment as you travel, and they must care for it and camp around it. Whenever the tabernacle is moved, the levites will take it down and set it up again. Anyone else who goes too near the tabernacle will be executed.' (numbers 1:48-51 nlt)
kill people for working on the sabbath
the lord then gave these further instructions to moses: 'tell the people of israel to keep my sabbath day, for the sabbath is a sign of the covenant between me and you forever. It helps you to remember that i am the lord, who makes you holy. Yes, keep the sabbath day, for it is holy. Anyone who desecrates it must die; anyone who works on that day will be cut off from the community. Work six days only, but the seventh day must be a day of total rest. I repeat: Because the lord considers it a holy day, anyone who works on the sabbath must be put to death.' (exodus 31:12-15 nlt)
Wakristo hatufundishwi uovu. YESU pekee ndiye anayemjua Mungu.Mungu ktk biblia.
*Aliamrisha watoto wasio na hatia kuuawa, na
*Aliwaruhusu wanawake wachanga kulazimishwa kwenye vitendo vya ngono bila ya ridhaa yao.
Ila wewe unasema mungu haamuru mabaya,sasa sijui kama unaelewa au hauelewi ila maana ya maneno yako ni kwamba Musa alikuwa akimuabudu shetani na ndiyo maana akamuamuru kufanya hayo,na ikiwa Musa alikuwa akimuadu shetani sasa hata sijui wewe unamuabudu nani.
Tatizo mnautukana uislamu halafu hamjui maadili ya biblia,hayo maadili ya kimaghalibi mliyoyakumbatia ndiyo mnafikili ni maadili ya biblia.
Wakristo hatufundishwi uovu. YESU pekee ndiye anayemjua Mungu.
YESU ndiye analo neno lenye kumweleza Mungu jinsi alivyo na sio mwanadamu mwingine awaye yote.sababu ni kwakuwa YESU alishuka kutoka mbinguni kwa BABA yake. Akaja duniani.
Wayahudi waliamini "mana" ilishuka kutoka mbinguni,.lakini YESU akawaambia "mana " haikushuka kutoka mbinguni.
Sasa wewe unaamini 'Mana' ilitoka wapi?
Wayahudi waliamini wataepuka adhabu kwasababu tu ni watoto wa Abraham. Yesu akawaambia hawawezi kuiepuka.
Wayahudi waliamini jino kwa jino, YESU akawakataza. Akawaambia wasamehe saba sabini ili wawe wakamilifu kama baba(Mungu)yao aliyeko mbinguni anayeaaangazia Jua lake wema na waovu.
Wayahudi waliamini talaka, Yesu akakataza kutalikiana, akawaambia Moses aliwaaruhusu hayo kutokana na ugumu wa mioyo yao.
Wayahudi waliamini Moses, aliwaagiza kumwuua mwanamke mzinzi kwa mawe. Yesu hakumuua Bali alimsamehe.
Ukristo sio uyahudi. Sasa ukristo haufuati mawazo ya wanadamu. Bali ya Yesu kristo. Maelezo ya YESU ndiyo maelezo ya Mungu. Maagizo ya Yesu ndio Final authority.
Na hii Bado hai-justify mauaji ya wakristo pale Garrasa.
Pia sio sababu kwani Duniani kuna dini nyingi zaidi ya ukristo. Kuukataa ukristo haimaanishi hakuna ubudha, au uhindu au African religions.
Mauaji yaliofanywa zama za Giza{dark ages} hayawezi kutumika Leo hii, ku-justify Ugaidi wa waislamu.
Huu ni ushetani(occult). Kutetea uovu kwa misingi ya dini. Kama Allah ameagiza haya ni wazi kuwa Allah is a devil. Master deceiver, destroyer, the biggest plotter of all.
Kwanza mie sijatetea ugaidi ila nazungumzia aya za Jihad.
Mungu ktk biblia.
*Aliamrisha watoto wasio na hatia
kuuawa, na
*Aliwaruhusu wanawake wachanga kulazimishwa kwenye vitendo vya ngono bila ya ridhaa yao.
Mi nataka unijibu hizo amri hapo zilitolewa na shetani au na mungu? Na kama zilitolewa na mungu je,mungu huyo ndiyo unayemuabudu wewe au siye?
Mungu hayuko kushindana na mwanadamu.
Hizo Aya literally sio Mungu kasema. Hiyo ni mihemuko ya hao manabii katika ubinadamu wao yakaandikwa kutoka a na upeo wa nyakati hizo kuwa Mungu ndivyo alivyosema.
Moses mwenyewe aliwahi kwenda mlimani akaja na amri alizoziita za mungu. Akakuta Wana abudu sanamu akakasirika akapasua zile amri!.