Al Shaabab yaalikwa kushiriki Ligi Kuu Somalia

Masulupwete

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
2,366
2,420
Rais wa Chama cha Soka Somalia ameonyesha kuwa michezo si uhasama kwa kutoa mwaliko kwa Kikundi cha Wanamgambo cha Al-Shabaab kushiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo.

Big up sana!

Chanzo: BBC Radio
 
Back
Top Bottom