Hawana sababu ya msingi.....Hawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!
Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.
Jamaa sijui maandiko yao wanatoa wapi. Yaani jitu linamchinja mtu live na linanawa damu! Jinga sanaHawa jamaa wana uchafua sana Uislam! Wakati fulani wanaweza kuwa na sababu za msingi, mfano kushindwa kwa Serikali husika kuwapa wananchi katika baadhi ya maeneo, huduma muhimu za kijamii!
Ila mbinu wanayo itumia sasa kudai hizo haki zao za kimsingi, ndizo zinazoleta utata.
Wanaweza kuteka shule, then wanarecruit vijana na wanakua wauaji mahili, refer Dominc Ongwen wa UgandaMmmh!
MUNGU ILINDE TANZANIA NA WATU WAKE.NAAMINI MIPAKA YETU IPO SALAMA NA ITAKUWA SALAMA.
Kwa kinacho onekana katika picha hao madogo hawaja penda kwenda kwa kwa hiyo mijitu
Atakuambia hao sio waislamNaye atakua punguani. Ule uuaji haufai
Haya majitu hayatumii maandiko Ni mivichwa yao TU.Hakuna imani inayoruhusu mambo ya hovyo hivyoJamaa sijui maandiko yao wanatoa wapi. Yaani jitu linamchinja mtu live na linanawa damu! Jinga sana
Ya miguu mi 2Haya mashetani.